Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna kashfa yoyote, acha fikra za kijuha.Usihadaike na maneno ya huyo Msomali. Hii nimkshifa kubwa na inamhusu, uungwana ni Kujiuzulu tu tena haraka mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kashfa yoyote, acha fikra za kijuha.Usihadaike na maneno ya huyo Msomali. Hii nimkshifa kubwa na inamhusu, uungwana ni Kujiuzulu tu tena haraka mno
Mnalalamika ujinga mtupu mbona tunaagiza ngano nje,sukari nje nk. Mchele bongo bei ghali ndomana huko Dodoma wali kwao ilikuwa ni anasa Sasa wanakuletea kutoka kwao maana ni msaada kwao umewazidia Sasa hapo unalialia Nini...Homeless wa kule mbona hawaonei huruma. Chakula bongo kingi sana. Walete hizo pesa tununue kyela wakapewe dodoma
Sawa je vipi somalia au sudani kusini? Mbona asipeleke zambia na nchi ina janga la ukame?Marekani ndio mtoa msaada mkubwa zaidi kwa DRC, kwa mwaka anaipa DRC msaada wa zaidi ya dola bilioni 1.
Sasa unafikiri mzigo wa kijeshi wa Uganda utaachwa upite tu kama mahindi au mchele?? Halafu badala ufurahi Uganda inatumia bandari yetu unalalamika!Hata vifaru na zana za kijeshi vinapitisha nchini .
Jana nimekutana na msafara wa magari ya Uganda ukitokea bandari ya Tanga, kupitia huko Arusha na Kilimanjaro kuelekea Uganda.
Mizigo iliyokuwa imebebwa ni mungu anajua, tena escort ya police wa TANZANIA ilikuwa mbele kulinda na kusindikiza huu mzigo.
Kwa hiyo unawapangia wa kuwapa msaada? Si anatoa anavyopenda?Sawa je vipi somalia au sudani kusini? Mbona asipeleke zambia na nchi ina janga la ukame?
Sasa anatupaje msaada ambao hatujauomba?Kwa hiyo unawapangia wa kuwapa msaada? Si anatoa anavyopenda?
Huna hoja, mtoa msaada anaamua pa kupeleka msaada wake, wakati na aina ya msaada. Hata matajiri unaowajua wewe nina uhakika unafahamu wanasaidia wanapojisikia kusaidia. Pia Marekani sio mtoa misaada pekee katika hii dunia.Sawa je vipi somalia au sudani kusini? Mbona asipeleke zambia na nchi ina janga la ukame?
Labda wameona huna hata hizo akili za kuomba huo msaadaSasa anatupaje msaada ambao hatujauomba?
Labda babu yako angekosa huo ugali wa njano angekufa kabisa kwa njaa au angeshindwa hata kufanya mapenzi kuzaa na hata leo hii wewe usingekuwepo.kitu muzuri sana H.e Bashe. Babu yangu anaeleza alikula ugali ya njano ilikuwa hakuna Vitamini.
Ningeshangaa kama unge coment tofauti na hiviAsante Wamarekani kwa kulisha wanafunzi wetu mashuleni chakula bora
Kwamba wizara ipime. Hivyo vipimo vimezalishwa wapi? Usimuamini mtu kizembe hivyo.Kiburi chanini wakati watoto wetu wanaanguka njaa mashuleni huku walimu wakipepesuka kwa njaa??
Wizara ipime kama Mchele hauna shida upelekwe mashuleni, Mchele wenyewe bei ghali shule gani inaweza kununua ikalisha watoto wake???
Waziri anakaa Dar anaamini watuwote tunakula Kila tunapojiskia...huku vijijini kunawatoto hupigwa kipigo kikali kisa kudokoa wali kutokana na njaa kali waliyonayo. Tunakula mlo mmoja tuu labda siku ya bahati ndiyo tule milo miwili.
Msiweke kiburi kisa ninyi mnakula mnashiba na kuvimbiwa, chamuhimu Mchele unaenda liwa shule ambamo hawawezi nunua Mchele wetu ambao bei ni yajuu.
Nilini tutapata viongozi wazalendo wenye akili nzuri na wanaojua nchi yao na watu wake wanavyoumia hasa huku vijijini??
Hopeless leaders kabisa!!
Unataka kusema huko kijijini kwenu wananjaa sana kuliko somalia sudani na palestinaMkuu umeshatembea huko vijijini ukawaona watoto wanavyoteseka na njaa na walivyodumaa. Lishe duni ni tatizo kubwa Tanzania. Kama wewe na watoto wako mnajitosheleza hapo ulipo shukuru Mungu, kuna watu huko hawajui mchana watakula nini. Cha msingi hapo Serikali ijiridhishe usalama wa hicho chakula kama Kipo Sawa mm sioni shida. Mchele na chakula kilichopo tz ni Kwa wanaojiweza Tu.
Vyakula vingapi vinatoka nje wewe hivi kwanini akili zenu huwa kunasaa zinahama? Mnakuwaje navichwa vigumu hivyo?Kwamba wizara ipime. Hivyo vipimo vimezalishwa wapi? Usimuamini mtu kizembe hivyo.
Kwanini usinijibu tu swali langu? Mbona maelezo mengi yenye hasira? Usifananishe vituo,jibu jambo uliloulizwa. Unaijua tiss unayoisema?Vyakula vingapi vinatoka nje wewe hivi kwanini akili zenu huwa kunasaa zinahama? Mnakuwaje navichwa vigumu hivyo?
Hatuna taasisi inahusika na kupima vyakula na dawa?? Hao tissue hawawezi kuchunguza uhalali wa vyakula vinavyoingia nchini? Au kaziyao ni kuchunguza wapinzani tuu?
Elimu yetu inashida saaana tunawajinga wengi saana mitaani!!
Tembeaa vijijini kijana, usikae mjini ukadhani kilamtu anakula na kushiba!! Kunavijiji hali ni mbaya mmno kushinda njaa nikawaida mmno watu wanakunywa ujii siku nzima!! Tembeaa nimejionea ndomana napata hasira!!Kwanini usinijibu tu swali langu? Mbona maelezo mengi yenye hasira? Usifananishe vituo,jibu jambo uliloulizwa. Unaijua tiss unayoisema?
Wewe mwenye kichwa chepesi tuambie ni wapi Tanzania kuna njaa ya kitu kilicholetwa? Easy wala hatulumbani