Hussein Bashe, You are smart, you are potential, liangalie zao la Cocoa Tanzania

Hao ni wapambe wa msomali
Acha Ukaburu ndugu
gone.png
 
Wasomali wabaguz sana, hata iwe generation ya buku.0

Hata ukifka nzega wanajibagua sana, hata wasio na chochote watajibagua tu.

Huyo msomali akipewa nchi yafuatayo yatatokea.
1. Uhusiano wa tz na ke utazorota

2. Somalia itajiunga eac

3. Wasomali wataitawala kariako
 
Kwa nini wakulima wanasubiri serikali iweke mkazo ndiyo waanze kulima cacao? Halafu 2030 mgombea rais wa CCM atakuwa ni mkatoliki. Huwa wanabadilisha dini za wagombea wao kila awamu.
Mpaka leo Hili zao kama yalivyo mengine Serikali ndo inapanga bei na uuze lini na wapi! Japo Mbegu utuzanji wake ni wewe ndo unajua! So jamaa analosema na kushauri ni sahihi
 
Huyu kijana mwanzoni nilimuona kama mtaka madaraka tu lakini kumbe ni kichwa na mchapa kazi mkubwa , ni tofauti na wale watoto wa wenye nchi ambao pamoja na kupewa madaraka bado hawana uwezo wa kiutendaji kama Bashe, viongozi wengi vijana tulionao hawana uwezo bali wanatumia influence za wazazi wao.
Namkubali sana Bashe hayo ya nywele na usomali ni ubaguzi wa kawaida wa baadhi yetu . Ni mchapa kazi na huo ndio ukweli wenyewe
 
Zao la Kakao lilimwe Nchi nzima kwenye hali ya hewa inayoruhusu.
 
Mkuu kuwa serious kidogo basi, kuna mnyamwezi mwenye nywele hizo? acha utani bhana
Kuna wa iraqw wengi wana nywele kama za Bashe au na hao sio watanzania?Tena umuejjita eneo lao Babati.
Isije ikawa mlowezi unajiita Babati?
 
Namkubali sana Bashe hayo ya nywele na usomali ni ubaguzi wa kawaida wa baadhi yetu . Ni mchapa kazi na huo ndio ukweli wenyewe
Ubaguzi tu umemjaa hana tofauti na makabulu wa Africa kusini
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Zao la Kakao lilimwe Nchi nzima kwenye hali ya hewa inayoruhusu.
Kweli kabisa! Zao hili mikoa ya Rukwa, Ruvuma, Wilaya za Nyaya, Kyela, Rudewa linastawi vizuri sana maana hakuna tofauti kubwa ya hali ya hewa kwenye maeneo haya
 
Mimi sio mpenzi sana wa siasa za watu ila napenda kukiri kuwa so far, kati ya watu ninaowaona wana akili na wanaweza kushika vizuri kijiti kutoka kwa Mama Samia coming 2030 ni Ndug. Hussein Bashe. Ana vision zisizotofautiana sana na Mama Samia hasa kwenye uwezeshaji, uwekezaji na biashara ivo si vibaya Chama changu kikaanza kumuandaa sasa kama alivyoandaliwa Ben Mkapa na Jakaya Kikwete.

Ninamuona Kama mtu smart, mwenye mawazo chanya yenye kujenga biashara na uwezo wa Taifa katika kukamata fursa za dunia hasa kiuwekezaji na kibiashara ambapo huu ndo Mwenendo wa Dunia yetu kwa sasa!

Nirudi kwenye mada, Leo BBC wametoa habari juu ya kilimo cha Cacao Kyela. Nilifika Kyela mwaka jana 2021 nikitokea Mbaba Bay na kusema kweli kuna potential kubwa sana kwenye zao la Cacao ambayo Tanzania Bado hatuja iutilize vizuri. Wakulima hawajahamasishwa kulima zao hili kwa wingi na pia elimu sahihi bado haijatolewa katika kuhakikisha zao hili linalimwa kwa wingi, kwa ubora na kumnufaisha Mtanzania.

Maeneo ya kwetu Nyasa, Ludewa na Kyela yanaonekana yanafaa sana kwa kilimo cha Cacao na yakitumika vizuri kwa wakulima kuhamasishwa kulima kwenye mashamba makubwa kwa ubora ni hakika hata Tanzania tunaweza kuwa na Brand yetu ya chocolate kama nchi zingine.

Naomba kama Serikali inavyoweka mkazo katika kilimo cha chikichi ambacho ingawa kitaliondolea Taifa letu na uhaba wa mafuta na kama Serikali ilivyoanza kuweka nguvu kwenye kuhamasisha watu kulima korosho kufikia kutoa hadi Miti kwa wakulima basi serikali ihakikishe pia unaweka nguvu kwenye zao hili la Cacao. Najua unaweza sana basi fanya hili.

Naamini uwezo unao na utafanyia kazi ushauri wangu.
Sikutaka kusoma sana nimependa sehemu umekiri wazi kuwa JIWE hakuandaliwa kuwa kiongozi.
 
Kweli kabisa! Zao hili mikoa ya Rukwa, Ruvuma, Wilaya za Nyaya, Kyela, Rudewa linastawi vizuri sana maana hakuna tofauti kubwa ya hali ya hewa kwenye maeneo haya
Wangelijaribu na Kagera,Mara,Arusha na Kilimanjaro
 
Kagera na kilimanjaro saivi serikali wanatoa miche ya kahawa kama mkakati wa muda mrefu. Kwa Mara itakuwa vizuri pia maana kule hawana kilimo kikuu cha kibiashara
 
Mimi sio mpenzi sana wa siasa za watu ila napenda kukiri kuwa so far, kati ya watu ninaowaona wana akili na wanaweza kushika vizuri kijiti kutoka kwa Mama Samia coming 2030 ni Ndug. Hussein Bashe. Ana vision zisizotofautiana sana na Mama Samia hasa kwenye uwezeshaji, uwekezaji na biashara ivo si vibaya Chama changu kikaanza kumuandaa sasa kama alivyoandaliwa Ben Mkapa na Jakaya Kikwete.

Ninamuona Kama mtu smart, mwenye mawazo chanya yenye kujenga biashara na uwezo wa Taifa katika kukamata fursa za dunia hasa kiuwekezaji na kibiashara ambapo huu ndo Mwenendo wa Dunia yetu kwa sasa!

Nirudi kwenye mada, Leo BBC wametoa habari juu ya kilimo cha Cacao Kyela. Nilifika Kyela mwaka jana 2021 nikitokea Mbaba Bay na kusema kweli kuna potential kubwa sana kwenye zao la Cacao ambayo Tanzania Bado hatuja iutilize vizuri. Wakulima hawajahamasishwa kulima zao hili kwa wingi na pia elimu sahihi bado haijatolewa katika kuhakikisha zao hili linalimwa kwa wingi, kwa ubora na kumnufaisha Mtanzania.

Maeneo ya kwetu Nyasa, Ludewa na Kyela yanaonekana yanafaa sana kwa kilimo cha Cacao na yakitumika vizuri kwa wakulima kuhamasishwa kulima kwenye mashamba makubwa kwa ubora ni hakika hata Tanzania tunaweza kuwa na Brand yetu ya chocolate kama nchi zingine.

Naomba kama Serikali inavyoweka mkazo katika kilimo cha chikichi ambacho ingawa kitaliondolea Taifa letu na uhaba wa mafuta na kama Serikali ilivyoanza kuweka nguvu kwenye kuhamasisha watu kulima korosho kufikia kutoa hadi Miti kwa wakulima basi serikali ihakikishe pia unaweka nguvu kwenye zao hili la Cacao. Najua unaweza sana basi fanya hili.

Naamini uwezo unao na utafanyia kazi ushauri wangu.
Punguzeni Sifa za mara kwa mara Kwake mtamfanya ama Arogwe Afe au Arogwe awe Kilema kama si Kurogwa awe Mwendawazimu pia, kwani Waswahili ( hasa Wanasiasa ) tunajuana na tuna Mifano kem kem just ya hili.
 
Unapoangalia zao la kakao wamulike na Jatu
 
Punguzeni Sifa za mara kwa mara Kwake mtamfanya ama Arogwe Afe au Arogwe awe Kilema kama si Kurogwa awe Mwendawazimu pia, kwani Waswahili ( hasa Wanasiasa ) tunajuana na tuna Mifano kem kem just ya hili.
Unaweza kuwa sahihi🤔
 
Back
Top Bottom