Hussein Bashe, You are smart, you are potential, liangalie zao la Cocoa Tanzania

Wasomali mbona hamtaki kwenda kuijenga nchi yenu?
Fuatilia background za marais karibia wote wa tanzania huwa hawanaga asili kabsa na nchi hii.
Nyerere_ana asili ya kirundi

Alhaji Mwinyi_ana asili ya yemen

B.W.Mkapa_baba yake mzazi ni mmakonde wa msumbiji,ata mkapa alikuja bongo akiwa ana miaka 4 ikabidi atumie jina la wajomba zake (Mkapa)ili kuficha ubini wake

JPM_Baba yake mzazi ni mrundi huyo msukuma ni baba ake wa kambo yaani alimlea JIWE akiwa na miaka 7

SSH_Ni muarabu pure
 
Nitamuona Smart mpaka pale atakaposhughulikia unyonyaju wa Wafanyabiashara kwenye Mambo ya Lumbesa wa Mazao
 
Du tena?
 
Hapo nina uhakika na huyo wa mwisho kuwa hakuwa mtanzania
 
Bashe ni smart kabla ata ya kuwa waziri, ni mtu anaeongea kwa data na hakurupuki.. kwa kifupi yuko timam sana ila kuwa rais ni ngumu sana na haiwezekani kabisa...
 
Nitakapoona mwenye ujasiri wa kufufua yale mashamba yaliyokuwa na miti ile ya kuzalisha mali ghafi ya mpira au niseme "rubber" iliyokuwa inatumika kuzalisha matairi "General Tyre" na wakafufua kile kiwanda cha kuzalisha matairi Arusha ndipo nitakubali kuunga mkono hoja.
 
Tunataka bangi na milungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…