Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Kumpeleka jamaa ubalozi nje haikuwa fresh.Katibu mkuu Kiongozi anaweza rejea nafasiniii au akalamba sehemu fulan nzito
Keep waiting….View attachment 3039747
Britanicca
Jamaa ana sifa zote za kwenda Finance huenda ndo usemavyo, kivingine.
Lakini jamaa sasa ni balozi wa kudumu UN na hajakaa sana pale.