TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Sawa ChiefUnachojua wewe ni tofauti na n8minachojua mimi, usilazimishe kiwe kimoja.
Kuwa na amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ChiefUnachojua wewe ni tofauti na n8minachojua mimi, usilazimishe kiwe kimoja.
Na wewe pia.Sawa Chief
Kuwa na amani
Mwanzo wenzenu wakilalamika si mlikuwa mkidai mtu hateuliwi kwa kigezo cha dini! Sasa mbona sasa hivi na nyie mnaweweseka?Mbona kwenye shuhuda zake ni wakina Mwajuma,Mariamu,Shida,Juma,Selemani, Abubakar,Aziza!!!???
Hizo ngonjera mpelekee pengo na mwamposa,ukimchukia Samia Kisa tuh yeye ni muislam basi TAMBUA FIKA KUNA WAFIA DINI TUPO STANDBY KURUKA NA KENGE WOTE WANAOSUMBULIWA NA UGONJWA WA ISLAMOPHOBIA...TUTAZAA NAO WATOTO PACHA KILA MMOJA WAO...Kwa taarifa yako Mwamposa ni nabii wa serikali ya ccm. Kazi kubwa anayofanya ni ya kupumbaza watu kwa manufaa ya watawala. Isitoshe Mwamposa tunamfuata wenyewe na tunampelekea fedha zetu. Lakini sasa kuna fedha hazijulikani hata zimetoka wapi lakini zinaonekena zikimnunua kila mtu kwenye nchi yetu! Zinanunua pikipiki 20,000 zenye nembo ya ccm na rais SSH! Zinawanunua wanasiasa wapinzani; zibagharamia uchawa mitandaoni, zinanunua viongozi wa dini, zinajenga makanisa na misikiti, zinawatibu wahanga wa utekaji, zinagharamia kambi za kisanii za matibabu, zinavinunulia mafuta vyombo vya nchi vya ulinzi na usalama, nk, nk!!!!
Makafiri ni jeuri,dawa Yao ni KIBURI tuhMwanzo wenzenu wakilalamika si mlikuwa mkidai mtu hateuliwi kwa kigezo cha dini! Sasa mbona sasa hivi na nyie mnaweweseka?
Tulieni dawa iwaingie.
VemaHao wanaokwenda huko ni wajinga wacha wapigwe kwani huku kwenye nyumba za ibada wanaonywa sana kujiepusha na hao wapigaji na hawasikii . Ila ndugu zako wapo wengi sana nao wanapigwa hela na mimi nasema wacha wapigwe tu kwani hawataki kuwasikia viongozi wao wa kidini maana hapo kwa Mwaposa hakuna dini bali ni kilinge tu cha uganga.
Mbona Mwigulu aliwahi kuwa Waziri wa Sheria na KatibaAnapeleka ujumbe Kwa S, kuwa hata afanyeje lazima Siri zivuje🤔
Kipenyo huyu apewe RC DAR.Katibu mkuu Kiongozi anaweza rejea nafasiniii au akalamba sehemu fulan nzito
Keep waiting….View attachment 3039747
Britanicca
Huoni siku hizi ugaidi umepungua sana? Ni kuwa mujaheedin wengi wamechotwa na Mwamposa na ndio waliojaa Kawe
!Hakuna muislam fa.la anaeweza kesha Kwa checkbob yule mnyakyusa eti aombewe kupata watoto au aombewe uzima wa milele,kinachoshangaza makafiri ni kuukataa uhalisia wenu na kutaka kuwavuta waislam kwenye upotevu wenu,muislam maana yake ni kujisalimisha Kwa Mungu Mmoja ambae hajazaa Wala hajazaliwa,Sasa MTU anakuaje muislam Kisha aende kuabudu Mungu yesu?
Hilo tapeli ni la kwenu,tambeni nalo.
Sina cv yake kamili lakini kabla ya kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, (enzi hizo Kinondoni ikiwa kubwa kabla ya kuimega vipande vya Ubungo, Kawe nk), alikuwa Mweka Hazina katika moja ya Halmashauri za Wilaya.Kwani ako na weledi wa mambo hayo ?
Unataka uweke bakuli lako upya la ombaomba (namba)ili uombe hela baada ya kumpoteza tumbili?Mimi kwa sasa nipo makini sana na taarifa zako maana wewe siyo mtu wa kawaida .View attachment 3039752
Kizimkazi mwenyewe kapeleka kibunda pale kobasi ndiyo wakumwaga majini yatoka kaweMakafiri hamna zuri, that's why mwamposa anawalaza wima pale kawe anawapiga pesa hadi akili ziwakae sawa.
Kizimkazi mwenyewe kapeleka kibunda pale ukiacha wewe kobazi shekhe ubwabwaHakuna muislam fa.la anaeweza kesha Kwa checkbob yule mnyakyusa eti aombewe kupata watoto au aombewe uzima wa milele,kinachoshangaza makafiri ni kuukataa uhalisia wenu na kutaka kuwavuta waislam kwenye upotevu wenu,muislam maana yake ni kujisalimisha Kwa Mungu Mmoja ambae hajazaa Wala hajazaliwa,Sasa MTU anakuaje muislam Kisha aende kuabudu Mungu yesu?
Hilo tapeli ni la kwenu,tambeni nalo.
"HAKUNA KINYAGO KINACHOWEZA KUMTISHA MCHONGAJI"Mama Abdul hana uwezo wa kumtoa Dr. Mwigulu, Nape pamoja na January kwani wanamtisha yule mmama.
Mkuu kuwa cheo cha kuteuliwa nchi hii hahitaji sana kuwa na elimu ya maokoto ama umachinga n.k.!
Sizani !
Mbona niliwahi sikia aliwahifanya kazi kwenye mahakama Sijui mambo ya sheria?!
Sasa hayo na maokoto wapi na wapi ?!