Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

Nadhani majibu ya huu Uzi yamepatikana jana kwenye uzinduzi wa biography ya mzee Mwinyi. Kwao ni mkuranga na mzee Mwinyi alipelekwa Zanzibar na babake (babu yake Hussein) kusoma Quran lakini akaishia kwenye harakati za siasa na kuukwaa urais wa Zanzibar.

So basically kwao ni mkuranga pamoja ya kwamba Hussein ni mzaliwa wa Zanzibar so eligibility ya kikatiba anayo.
 
Wanangu hamjambo?

Kwa wanaojua kuwa mzee Ali Hassan Mwinyi ni Mzaramo wa Kivule watakubaliana nami kuwa hata mwanae ni Mzaramo.

Je, hii haimfanyi kuwa kama baba yake ambaye alitawala Zanzibar pamoja na kutokuwa Mzanzibari? Je, hii wanaichukuliaje wale wanaowaita watu bara machogo kuongozwa na machogo mara mbili?
 
Wanangu hamjambo? Kwa wanaojua kuwa mzee Ali Hassan Mwinyi ni Mzaramo wa Kivure watakubaliana nami kuwa hata mwanae ni Mzaramo. Je hii haimfanyi kuwa kama baba yake ambaye alitawala Zanzibar pamoja na kutokuwa mzanzibari? Je hii wanaichukuliaje wale wanaowaita watu bara machogo kuongozwa na machogo mara mbili?
Japo ni kweli Mzee Ali Hassan Mwinyi hakuwa Mzanzibari kwa kuzaliwa, kwani alihamia Zanzibar, akawa ni Mkaazi wa Zanzibar, akasoma Zanzibar, akao Zanzibar tena wakeze wote wawili, Bi Khadija na Bi. Sitti wote ni Wazanzibari, hivyo Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibari kamili.
P
 
Mkuu lengo la uzi wako ni nini hasa?

Kutaka kurushiana vijembe na maneno ya mtaani?
 
Wanangu hamjambo? Kwa wanaojua kuwa mzee Ali Hassan Mwinyi ni Mzaramo wa Kivure watakubaliana nami kuwa hata mwanae ni Mzaramo. Je hii haimfanyi kuwa kama baba yake ambaye alitawala Zanzibar pamoja na kutokuwa mzanzibari? Je hii wanaichukuliaje wale wanaowaita watu bara machogo kuongozwa na machogo mara mbili?
Watajuana wenyewe wale acha waongozwe kama sisi tunavyoongozwa na Mzanzibar
 
Japo ni kweli Mzee Ali Hassan Mwinyi hakuwa Mzanzibari kwa kuzaliwa, kwani alihamia Zanzibar, akawa ni Mkaazi wa Zanzibar, akasoma Zanzibar, akao Zanzibar tena wakeze wote wawili, Bi Khadija na Bi. Sitti wote ni Wazanzibari, hivyo Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibari kamili.
P

Mwinyi alikuwa mzanzibari pia..

Alienda Zanzibar kabla ya Mapinduzi

Kisheria kila anaekuwepo katika nchi husika siku ya Uhuru anakuwa automatic Raia..
 
Japo ni kweli Mzee Ali Hassan Mwinyi hakuwa Mzanzibari kwa kuzaliwa, kwani alihamia Zanzibar, akawa ni Mkaazi wa Zanzibar, akasoma Zanzibar, akao Zanzibar tena wakeze wote wawili, Bi Khadija na Bi. Sitti wote ni Wazanzibari, hivyo Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibari kamili.
P
Kama ingekuwa zanzibar ni nchi ambayo hatujaungana nayo angekuwaje mzanzibar?
 
Japo ni kweli Mzee Ali Hassan Mwinyi hakuwa Mzanzibari kwa kuzaliwa, kwani alihamia Zanzibar, akawa ni Mkaazi wa Zanzibar, akasoma Zanzibar, akao Zanzibar tena wakeze wote wawili, Bi Khadija na Bi. Sitti wote ni Wazanzibari, hivyo Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibari kamili.
P
Paschal washauri Star TV waboreshe mitambo yao hasa kwenye kipindi cha big agenda, ni kipindi kizuri lakini mara nyingine matangazo yanakatika na kipindi kinachelewa kuanza, hawana mitambo ya kuunganisha watu Dodoma, Dar na Mwanza kwa wakati mmoja kama BBC.
 
Japo ni kweli Mzee Ali Hassan Mwinyi hakuwa Mzanzibari kwa kuzaliwa, kwani alihamia Zanzibar, akawa ni Mkaazi wa Zanzibar, akasoma Zanzibar, akao Zanzibar tena wakeze wote wawili, Bi Khadija na Bi. Sitti wote ni Wazanzibari, hivyo Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibari kamili.
P
yaani chadema hata historiahawajui hapo anataka kuleta uchonganishi tu
 
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara.

Yote tisa kumi ni kivipi Mzanzibari anakuwa Mbunge sehemu ya Bara?

HUSSEIN MWINYI aliweza vipi kuwa MP na jimbo lake la uwakilishi kuwa Mkuranga sehemu ya Bara?
Mbona ni jambo la kawaida sana...! Leo hii bara Raisi ni Mzanzibar, na Zanzibar Raisi ni Mbara wa Mkuranga. Kwa hiyo ni bila bila.! Fanya yako bwashee kazi Iendelee....
 
Back
Top Bottom