Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

Sorry mkuu, hivi yule Dotto Bulendu sijui kama sijakosea jina lake la mwisho, yuko wapi? jamaa ni bonge la mtangazaji naona na Aloyce Nyanda anafuata nyao zake kwa karibu
Dotto Bulendu ni mhadhiri mwandamizi wa Saut, anatangaza just for the love of it.
The guy is really good.
P
Kama ingekuwa zanzibar ni nchi ambayo hatujaungana nayo angekuwaje mzanzibar?
Mama ni Mzanzibari.
P
 
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara.

Yote tisa kumi ni kivipi Mzanzibari anakuwa Mbunge sehemu ya Bara?

HUSSEIN MWINYI aliweza vipi kuwa MP na jimbo lake la uwakilishi kuwa Mkuranga sehemu ya Bara?
Ni Mtanzania.

Siasa zenu za kibaguzi zimekuwa utamaduni sasa
 
Nchii moja hi ww ungeishi marekani si ndo ungedata ww...
 
Wanangu hamjambo?

Kwa wanaojua kuwa mzee Ali Hassan Mwinyi ni Mzaramo wa Kivule watakubaliana nami kuwa hata mwanae ni Mzaramo.

Je, hii haimfanyi kuwa kama baba yake ambaye poion alitawala Zanzibar pamoja na kutokuwa Mzanzibari? Je, hii wanaichukuliaje wale wanaowaita watu bara machogo kuongozwa na machogo mara mbili?
Kwa sababu watanzania tuna akili ya kuku, hata kifaranga aweza kutawala hapo. Huku twasema mwungano kule SMZ, not sure what it actually means. Mwungano ulikuwa wa kushinisha matumbo ya wakanja na familia zao. To me it is a useless as dead wood.
 
Nadhani majibu ya huu Uzi yamepatikana jana kwenye uzinduzi wa biography ya mzee Mwinyi. Kwao ni mkuranga na mzee Mwinyi alipelekwa Zanzibar na babake (babu yake Hussein) kusoma Quran lakini akaishia kwenye harakati za siasa na kuukwaa urais wa Zanzibar.

So basically kwao ni mkuranga pamoja ya kwamba Hussein ni mzaliwa wa Zanzibar so eligibility ya kikatiba anayo.
Hussein Mwinyi hakuzaliwa Zanzibar. Niishie kusema hivyo.
 
Vyeo vya kugombea unagombea mahali pote,ata wewe unaweza kwenda gombea chatto kwa mwendazake

Ukitaka uwajue Wazanzibari walivyo nenda wewe ukagombee Mwanakwerekwe, au katafute tu Kiwanja Zanzibar au Pemba. Wanatuona sisi Machogo sana, wao wamejazana Mbagala na Kigamboni.
 
Tenga muda usome kitabu cha Mzee Mwinyi senior utajua kwa nini Mh. Hussein Mwinyi alikuwa mbunge wa Mkuranga.
 
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara...
Ulishafanya juhudi binafsi kujua sababu au bongo lako limelala... Juabkwanza haki za Mtanzania and jua haki za Mzanzibari simple tu and then utakuwa mwerevu no more stupid questions
 
Mikoa!! Wakati Zanzimbar wanakatiba yao, mbona mwanza hawana katiba wala rais wa mwanza?
Urais ni mamlaka sio jina, kule Israiel, Ujerumani au Ethiopia wanaye lakini hamzidi Waziri mkuu. Sasa hapa yule wa Zanzibar ni kama Gavana tu kimamlaka. Katiba wanayo lakini inamamlaka gani kuliko Tabora?

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Familia yao ni asili ya Uzaramoni, zamani ikiwa wilaya ya Kisarawe kabla kugawanywa kuwa wilaya Y Mkuranga na walihamia Zanzibar baadhi wengine bado wapo Mkuranga. Baba yake alikuwa ana nyumba Yombo dovya kipindi akiwa raisi mama yake aliishi huko.
hivi ni yombo dovya au yombo kwa abiola?
 
Sisi ni nchi moja
kero moja wapo ya muungano, basi na watu kutoka bara waruhusiwe kununua ardhi zanzbr kama ilivyo wanzibar walivyo na ruhusa kununua ardhi bara bila masharti yeyote yale
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Urais ni mamlaka sio jina, kule Israiel, Ujerumani au Ethiopia wanaye lakini hamzidi Waziri mkuu. Sasa hapa yule wa Zanzibar ni kama Gavana tu kimamlaka. Katiba wanayo lakini inamamlaka gani kuliko Tabora?

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Mkuu hauna hoja!! bali vihoja. mleta mada alikuwa ahoji. Kijana wa kizanzibar anapata mkopo kwenye bodi ya mkopo. Lakini kijana wa bara hawezi kumpata mkopo kwenye taasisi za Zanzibar.
 
Back
Top Bottom