Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Dotto Bulendu ni mhadhiri mwandamizi wa Saut, anatangaza just for the love of it.Sorry mkuu, hivi yule Dotto Bulendu sijui kama sijakosea jina lake la mwisho, yuko wapi? jamaa ni bonge la mtangazaji naona na Aloyce Nyanda anafuata nyao zake kwa karibu
Mama ni Mzanzibari.Kama ingekuwa zanzibar ni nchi ambayo hatujaungana nayo angekuwaje mzanzibar?
Ni Mtanzania.Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara.
Yote tisa kumi ni kivipi Mzanzibari anakuwa Mbunge sehemu ya Bara?
HUSSEIN MWINYI aliweza vipi kuwa MP na jimbo lake la uwakilishi kuwa Mkuranga sehemu ya Bara?
Kwa sababu watanzania tuna akili ya kuku, hata kifaranga aweza kutawala hapo. Huku twasema mwungano kule SMZ, not sure what it actually means. Mwungano ulikuwa wa kushinisha matumbo ya wakanja na familia zao. To me it is a useless as dead wood.Wanangu hamjambo?
Kwa wanaojua kuwa mzee Ali Hassan Mwinyi ni Mzaramo wa Kivule watakubaliana nami kuwa hata mwanae ni Mzaramo.
Je, hii haimfanyi kuwa kama baba yake ambaye poion alitawala Zanzibar pamoja na kutokuwa Mzanzibari? Je, hii wanaichukuliaje wale wanaowaita watu bara machogo kuongozwa na machogo mara mbili?
Hussein Mwinyi hakuzaliwa Zanzibar. Niishie kusema hivyo.Nadhani majibu ya huu Uzi yamepatikana jana kwenye uzinduzi wa biography ya mzee Mwinyi. Kwao ni mkuranga na mzee Mwinyi alipelekwa Zanzibar na babake (babu yake Hussein) kusoma Quran lakini akaishia kwenye harakati za siasa na kuukwaa urais wa Zanzibar.
So basically kwao ni mkuranga pamoja ya kwamba Hussein ni mzaliwa wa Zanzibar so eligibility ya kikatiba anayo.
Vyeo vya kugombea unagombea mahali pote,ata wewe unaweza kwenda gombea chatto kwa mwendazake
Asante kwa taarifa mkuu yule jamaa namkubali sn, kipindi cha dikteta alikuwa haogopi hata kidogo hiyo kazi anaiweza vizuri sn.Dotto Bulendu ni mhadhiri mwandamizi wa Saut, anatangaza just for the love of it.
The guy is really good.
P
Mama ni Mzanzibari.
P
Shukrani sn mkuu napenda sn kumfuatilia, japo Aloyce Nyanda naye siyo habaDotto Bulendu ni mhadhiri mwandamizi wa Saut, anatangaza just for the love of it.
The guy is really good.
P
Wenzio wanazungumuzia uzanzibar na utanganyika. We unazungumuzia ukabila. huoni kuwa unachanganya madesa?Gwajima amekuwaje Mbunge wa Kawe wakati ni Msukuma?
Zanzibar haina tofauti na Mwanza, na Shinyanga tena kipindi hiki ambacho viongozi wamezaliwa baada ya Muungano ile ni Mikoa tuWenzio wanazungumuzia uzanzibar na utanganyika. We unazungumuzia ukabila. huoni kuwa unachanganya madesa?
Ulishafanya juhudi binafsi kujua sababu au bongo lako limelala... Juabkwanza haki za Mtanzania and jua haki za Mzanzibari simple tu and then utakuwa mwerevu no more stupid questionsNyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara...
Haha haha haha akikisha unakula ugali na kushibaNdiyo natafuta ugali hivi ndugu.
Mikoa!! Wakati Zanzimbar wanakatiba yao, mbona mwanza hawana katiba wala rais wa mwanza?Zanzibar haina tofauti na Mwanza, na Shinyanga tena kipindi hiki ambacho viongozi wamezaliwa baada ya Muungano ile ni Mikoa tu
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Urais ni mamlaka sio jina, kule Israiel, Ujerumani au Ethiopia wanaye lakini hamzidi Waziri mkuu. Sasa hapa yule wa Zanzibar ni kama Gavana tu kimamlaka. Katiba wanayo lakini inamamlaka gani kuliko Tabora?Mikoa!! Wakati Zanzimbar wanakatiba yao, mbona mwanza hawana katiba wala rais wa mwanza?
hivi ni yombo dovya au yombo kwa abiola?Familia yao ni asili ya Uzaramoni, zamani ikiwa wilaya ya Kisarawe kabla kugawanywa kuwa wilaya Y Mkuranga na walihamia Zanzibar baadhi wengine bado wapo Mkuranga. Baba yake alikuwa ana nyumba Yombo dovya kipindi akiwa raisi mama yake aliishi huko.
kero moja wapo ya muungano, basi na watu kutoka bara waruhusiwe kununua ardhi zanzbr kama ilivyo wanzibar walivyo na ruhusa kununua ardhi bara bila masharti yeyote yaleSisi ni nchi moja
Mkuu hauna hoja!! bali vihoja. mleta mada alikuwa ahoji. Kijana wa kizanzibar anapata mkopo kwenye bodi ya mkopo. Lakini kijana wa bara hawezi kumpata mkopo kwenye taasisi za Zanzibar.Urais ni mamlaka sio jina, kule Israiel, Ujerumani au Ethiopia wanaye lakini hamzidi Waziri mkuu. Sasa hapa yule wa Zanzibar ni kama Gavana tu kimamlaka. Katiba wanayo lakini inamamlaka gani kuliko Tabora?
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
PointNdg yng weee tafuta Ugali wako tu, mambo ya Nchi magumu sana
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app