Kwa hiyo zile Fitna za Seif kwa Aboud Jumbe alitumwa na Tanganyika?
Hapo mwenyewe unafanya kazi za uajenti.
Ukiambiwa toa ushahidi unao? Unatumia kasumba tu. Kwani hiyo maalim aliwahi kuwa personal secretary was Jumbe?
Usichokijua ni kwamba Jumbe alitumika, lkn mchezo ukamshinda njiani na ndipo mwalimu alipomuacha baada ya kumuona hana tena msaada.
Vijana wa frontline kwenye kundi LA akina Dr Salmon, Ali Ameir na Maalim walipingana na Jumbe kwa namna alivyokuwa akiendesha mambo.
Cha ajabu Leo anatajwa Maalim pekee eti alimsaliti Jumbe.
Jumbe aliwatishia kuwavuruga vijana na kutumia kitu kinaitwa "Revolutionary Justice" kwa kila aliyempinga.
Baada ya kuboronga na kuona mwalimu kamtosa kwa maslahi mapana ya nchi, ndipo sasa Jumbe akamgeukia mwalimu kwa kuibuka na muungano was serikali 3.
Hii ilikuwa in kumuadhibu mwalimu baada ya kuona katoswa kwenye mbinu zake ovu.
Initially, Jumbe alishafanikisha kuvunja ASP. Na kupoteza nguvu za Zanzibar.
Huyu Jumbe tatizo alipotea njia tu.
Fuatilia tu utaelewa siasa za Zanzibar.
Pale kuna draft linachezeshwa Bara.