Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zanzibar ni koloni letu
Sultan seif Sharif Hamad anagombea Toka kijana mpaka Babu je mwaka 2025 atagombea pia?
View attachment 1503282
Nimekuomba ujiulize badala yake wanitusi. Nijibu swali gani? Inaonyesha umefikia mwisho wa kufikiri. Mazingira yalivyo ni kwamba Mwinyi tayari ni rais wa Zanzibar. Sio idadi ya kura inamweka rais madarakani bali tangazo la ZEC. Wanafanya watakavyo. Kufuta matokeo ya uchaguzi na kurudia. Kutangaza wamtakaye hata kama hakupata hata kura moja. Hakuna yeyote atapinga. Sanduku la kura ni la masharti ya kupatia mikopo!Jibu swali we KUNGUNI
Umechambua vyema. sometimes ukimya wa namna hii sio mzuri.ili ujue kipindi hiki Jecha hayupo, atakayetangazwa atakuwa mshindi halali
Baeleze baelewe.Badamu batamwagika
The sources said that Lieutenant Humud, 26 years old, had been a member of the Arab ethnic minority that had mono polized power on Zanzibar before the black majority seized power in a revolution on Jan. 12, 1964. Lieutenant Humud and four other assassins were later killed, reports said.Maalimu Seif toka aanze kugombea Zanzibar hadi leo wameshapita marais wangapi.
The sources said that Lieu tenant Humud, 26 years old, had been a member of the Arab ethnic minority that had mono polized power on Zanzibar before the black majority seized power in a revolution on Jan. 12, 1964. Lieutenant Humud and four other assassins were later killed, reports said.Maalim Seif amefanya kazi kama Waziri kiongozi wa Rais Ally Hassan Mwinyi mwaka 1984-1985.
Leo baada ya miaka 35 kupita anaenda kufanya kazi tena na mwana wa Rais Ally Hassan Mwinyi kama makamu wake wa kwanza wa rais.
Kwa ufupi amefanya kazi chini ya Baba(Ally) na sasa anaenda kufanya chini ya mtoto(Hussein).
Nimeshangaa mwinyi senior mtu wa bara, aliweza vipi kuwa rais wa Zanzibar.Huu ni uongo.
Fitna za Tanganyika dhidi ya Zanzibar ndio zilimueka Mwinyi SR na fitna hiyo hiyo ndio inataka kumuweka kwa nguvu Mwinyi JR.
Hivi hivi walimuweka Jumbe kutoka Mjimwema.
Bado Tanganyika kwa kutumia Sera ya devide and rule imepandikiza ccm wengi unguja na kuwapa vyeo vya chama eti kuiwakilisha Zanzibar Dodoma.
Makosa waliyofanya ccm asili Zanzibar kwa kufuata kasumba za kugawiwa na Bara ndio zinewafikisha hapo.
Tunakoelekea sio maslahi ya Zanzibar wala ya matumbo yao hayana nafasi.
Siku zote mkoloni si mwema
Nimeshangaa mwinyi senior mtu wa bara, aliweza vipi kuwa rais wa Zanzibar.
Karume ki umri alikuwa mkubwa kuliko nyerere, sijui ilikuwaje dogo janja akamzidi ujanja.Nyerere ni namba nyingine aisee, hata mimi nimeshangaa sana
Safari hii mkuu hayo hayawezekani. Kuna mtu atalazimisha kisha Yale ya 2001 yatatokea na sisi tutapata kwa Mara ya kwanza kiongozi/viongozi watakao nyea ndoo The Hague.Sema Maalim Seif atashinda uchaguzi lakini, Mwinyi ndio atatangazwa mshindi.
Labda Zenj modern taarabu!TWisheshagi,
Mwinyi ndiye rais wa Zenj