THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Maalim Seif amefanya kazi kama Waziri kiongozi wa Rais Ally Hassan Mwinyi mwaka 1984-1985.Maalimu Seif toka aanze kugombea Zanzibar hadi leo wameshapita marais wangapi
Maalim Seif amefanya kazi kama Waziri kiongozi wa Rais Ally Hassan Mwinyi mwaka 1984-1985.Sultan seif Sharif Hamad bin qaboos anagombea Toka kijana mpaka Babu je mwaka 2025 atagombea pia?View attachment 1503282
Wewe toto kweli. Jiulize kwa nini asemwe Putin lakini Angela Merkel hasemwe!
Hao ni magaidi, haihitaji usomi kujua hao ni wahuni
Maalimu Seif toka aanze kugombea Zanzibar hadi leo wameshapita marais wangapi.
Huu ni uongo.Seif Kaanza fitna za Urais 1983 wakati huo Baba yake Dr Hussein Mwinyi, Mzee Ally Hassan alikuwa 'Muuza' Ice cream pale Tandika kwa mwinyi baada ya kurudishwa nyumban toka Misri. Wakat huo Hussein yupo Aza boy
Fitna za Seif zikampa Urais Ally, bado fitna za Seif zinalazimisha Chama kufanya maamuzi ya kumpa Urais Hussein
Tume inajua mshindi mpaka sasa ni nani lakini inasubiri muda wa kutangaza matokeo
Lakin inabidi Maalim afanye mbinuSema Maalim Seif atashinda uchaguzi lakini, Mwinyi ndio atatangazwa mshindi.
Huu ni uongo.
Fitna za Tanganyika dhidi ya Zanzibar ndio zilimueka Mwinyi SR na fitna hiyo hiyo ndio inataka kumuweka kwa nguvu Mwinyi JR.
Hivi hivi walimuweka Jumbe kutoka Mjimwema.
Bado Tanganyika kwa kutumia Sera ya devide and rule imepandikiza ccm wengi unguja na kuwapa vyeo vya chama eti kuiwakilisha Zanzibar Dodoma.
Makosa waliyofanya ccm asili Zanzibar kwa kufuata kasumba za kugawiwa na Bara ndio zinewafikisha hapo.
Tunakoelekea sio maslahi ya Zanzibar wala ya matumbo yao hayana nafasi.
Siku zote mkoloni si mwema
Kuna kura au kuna maigizo?Kabla ya kura?
Hapo mwenyewe unafanya kazi za uajenti.Kwa hiyo zile Fitna za Seif kwa Aboud Jumbe alitumwa na Tanganyika?
Ninaona turufu ya wazi kwa Maalim Seif Sharrif Hamad. Hussen Mwinyi, atashinda Uchaguzi, Maalim Seif Hamad, atashinda kura na Mzee Jecha, atazihesabu kura tena.
Ndimi Mkulima wa Miwa, Bonde la Mto Simiyu- Magu-Mwanza
Usichokoze mambo ambayo huyajui.Kwa hiyo zile Fitna za Seif kwa Aboud Jumbe alitumwa na Tanganyika?
Usichokoze mambo ambayo huyajui.
Akikujibu pls nitag comrade...!!Kwa hiyo zile Fitna za Seif kwa Aboud Jumbe alitumwa na Tanganyika?
Ths time Maalim anapigania nafasi ya pili yeye na Salum Mwalimu wa ChademaMwinyi atashinda uchaguzi.
Maalim atashinda njaa.
kabisaa.Ths time Maalim anapigania nafasi ya pili yeye na Salum Mwalimu wa Chadema