Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Bakhresa ni muwekezaji kama ilikuwa hujui. Na kama unasemea uleradi wa Fumba town si wake. Tofauti na hoteli na visima vya mafuta ni nini kingine anamiliki?Mbona ni kinyume chake? Kamuulize Bakhresa
Acha watimize wajibu wao wa kugombeaHao Maalim Seif anajisumbua tu, wanatawaliwa mpaka CCM ichoke yenyewe.
Hakuna mgombea yeyote anaeshindwa asiseme ameibiwa kura. Na mwaka huu hali ni mbaya maana na yule baba wa demokrasis U.S.A anashutumiwa kuiba kura.CCM haijawahi kushinda zanzibar bali ni kuchakachua tu na 2015 mlishindwa vibaya sana na Maalim seif akatangaza matokeo mmeshindwa japo na pia mlichakachua kura.
Hata mimi nilijiuliza sana swali hili, ila sikuelewa inakuawje mtu alipewa kugombea ubunge Pwani yeye akiwa ni mzanzibari alipita au alikabidhiwa tu ubunge, Hussein hajawahi kuwatumikia Wazanzibari kwa Uwakilishi au ujumbe wowote ule leoanakuja awe Rais wa Zanzibari ni wangapi watamuelewa au inatumika cheo cha baba yake kuwaelimisha wazanzibari na kuawlazimisha wamkubali, uzoefu wa kufanya kazi zanzibari kama mkazi hana, uwezo wa kuwasaidia wazanzibari kutokana na ukaribu wao na yeye hana, hapa pagumu sana, huyu ni mtu wa bara
Mkuranga ni sehemu ya PembaHili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni...
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni...
Ni sawa James Joseph David kusoma form 1 mpka six katika Islamic secondary school ...jambo la kawaidaHili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?...
Hio fursa itumike mara ngapi?Zanzibar wasipotumia fursa ya Lissu na Seif katika uchaguzi huu CCM wakimtaka wanaweza kumpachika Uzanzibari hata Serukamba na kuwa Rais wa Zanzibar na Waunguja wasifanye kitu.
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Una uhakika unachokiongeaMwinyi ni Mzanzibar kwa asili yake. Amekuwa mkaazi wa mkuranga hivyo alikuwa na sifa za kugombea huko. Sifa kuu ya kugombea zanzibar ni uwe mzaliwa kwa asili au uwe umekaa (kuishi zanzibar miaka 5 mfululizo). Kwa sifa hizo ndio akaenda Zanzibar kugombea ubunge. Hadi anapendekezwa alikuwa mbunge kutoka Zanzibar.
Daudi Alibati Bashite!πππππWee unasema Serukamba tu hata Charles Mwijage
Mambo ya Animal Farm sio?All animals are equal, but some are more equal than others ~ George Orwell