Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

chinembe,

Waitara alikuwa mbunge wa Ukonga lakini sasa anagombea Tarime; Tanzania haina ubaguzi wa aina yoyote. Kuna wakati Mkemia mkuu wa serikali ya Zanzibar alikuwa Dr. Ernest Mashimba kabla ya kuteuliwa kuwa mkemia mkuu wa serikali. Lakini marehemu Mashimba ni msukukuma wa nadhani wa Bariadi au Maswa.
 
Hapo kwenye mava ?? Umekuwa ni uwanja wa kufanyia sherehe ?? au mumeigeuza giningi ??
Shemeji Gavana,za chokocho?!!kaswali kwanza,Alfajr yesha hiyo....

Utakuja tu Kusheherekea ushindi wa Dr.Mwinyi,inshaalah
 
CCM haijawahi kushinda zanzibar bali ni kuchakachua tu na 2015 mlishindwa vibaya sana na Maalim seif akatangaza matokeo mmeshindwa japo na pia mlichakachua kura.
Na full report hata UNDP wanayo, iliyopelekea muakilishi wao, mwana mama ws Ki Gambia kuondolewa nchini ndani ya masaa 24.
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Huku Bara waweza jichagulia jimbo lolote ukagombea, Mrema from Vunjo hadi Temeke, Mgombea Mwenza wa Chadema Mwalimu aliwahi kugombea Kinondoni, hadithi ni nyingi
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Mbona Sslumu Mwalimu aligombea ubunge Kinondoni?

Ubunge ni swala la muungano unagombea popote!
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Kwa wale ambao hamjaishi Zanzibar bado mnawaza kuwa Zanzibar ni nchi!! Ile sio nchi ni sehemu tu ya Tanzania ambapo utaenda kujifunza namna madafu yanavyoliwa na namna ya kukuna nazi
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Swala dogo sana, kwani wabunge wote wa Dar ni wazalamo/ wamatumbi/ wandengereko?
Ndani ya jamhuri unaweza kugombea ubunge,udiwani,popote pale,sio lazima ulipozaliwa.
 
Kwani ili uwe Mzanzibar ni lazima Uzaliwe Zanzibar au Ukae Zanzibar? Kwani Wapemba walioko bara hawaruhusiwi kuwa viongozi zanzibar kwa kuwa wako bara?
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Unakumbuka mgombea mwenza wa Lissu aligombea Kinondoni?
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Hujui maana ya muungano we we, kaa kimya!
 
Zanzibar ni mkoa ndani ya Tanganyika kama ilivyo Singida, Tabora, Morogoro, Dodoma n.k, hata Dr Shika anaweza kwenda kugombea kwa CCM.
 
Wanasheria tusaidieni hapa!!
Katiba ya Jamuhuri inamruhusu Mtanzania yeyote mwenye umri zaidi ya 21 anayejua kusoma na kuandika kugombea ubunge mahala popote katika Jamuhuri..na ndio maana unakuta wachaga wakiwa wabunge wa waarusha Kwa zaidi ya miaka 15 SASA. (katiba inaruhusu)
 
Washalitumia tayari,na pia je aliziliwa wapi? Maana katiba ya Zanzibar inasema huwezi kuwa rais wa Zanzibar kama hujazaliwa zanzibar
 
Back
Top Bottom