Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Karibu Kisiwandui Hapo Novemba Tusherehekee Ushindi Wa Dr.Mwinyi aaamin...😁😁😁
Hapo kwenye mava ?? Umekuwa ni uwanja wa kufanyia sherehe ?? au mumeigeuza giningi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Kisiwandui Hapo Novemba Tusherehekee Ushindi Wa Dr.Mwinyi aaamin...😁😁😁
Shemeji Gavana,za chokocho?!!kaswali kwanza,Alfajr yesha hiyo....Hapo kwenye mava ?? Umekuwa ni uwanja wa kufanyia sherehe ?? au mumeigeuza giningi ??
Na full report hata UNDP wanayo, iliyopelekea muakilishi wao, mwana mama ws Ki Gambia kuondolewa nchini ndani ya masaa 24.CCM haijawahi kushinda zanzibar bali ni kuchakachua tu na 2015 mlishindwa vibaya sana na Maalim seif akatangaza matokeo mmeshindwa japo na pia mlichakachua kura.
Tanganyika kwani bado ipo? Rudisheni Tanganyika yenu mupate kujinafas.chinembe,
Tanzania ni nchi ya ajabu sana kwa CCM, ukiwa Mzanzibar unaruhusiwa kujinafasi unavyotaka. Ila siyo Mtanganyika
Mmeshashindwa uchaguzi mnaanza maswali ya kipuuzi
Huku Bara waweza jichagulia jimbo lolote ukagombea, Mrema from Vunjo hadi Temeke, Mgombea Mwenza wa Chadema Mwalimu aliwahi kugombea Kinondoni, hadithi ni nyingiHili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Mbona Sslumu Mwalimu aligombea ubunge Kinondoni?Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Kwa wale ambao hamjaishi Zanzibar bado mnawaza kuwa Zanzibar ni nchi!! Ile sio nchi ni sehemu tu ya Tanzania ambapo utaenda kujifunza namna madafu yanavyoliwa na namna ya kukuna naziHili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Swala dogo sana, kwani wabunge wote wa Dar ni wazalamo/ wamatumbi/ wandengereko?Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Unakumbuka mgombea mwenza wa Lissu aligombea Kinondoni?Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Aliye ikomboa Zanzibar alikuwa Field Marshal John Okelo - ambaye ni muacholi (munaluo) wa UgandaWee unasema Serukamba tu hata Charles Mwijage
Hujui maana ya muungano we we, kaa kimya!Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.
Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?
Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Katiba ya Jamuhuri inamruhusu Mtanzania yeyote mwenye umri zaidi ya 21 anayejua kusoma na kuandika kugombea ubunge mahala popote katika Jamuhuri..na ndio maana unakuta wachaga wakiwa wabunge wa waarusha Kwa zaidi ya miaka 15 SASA. (katiba inaruhusu)Wanasheria tusaidieni hapa!!