Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mambo ya Wazanzibar, wewe mtanganyika yanakuhusu nini ?Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo, Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Hata akishindaCCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Ushindi ni Maalim ila Jecha lazima afanye yakeCCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Elezea unawanyonya kivipi ?Utavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Jeshi letu lipo macho, huo upuuzi hauwezi kutokea.Tutagombea fito kwanza halafu ndipo "watu wa nje" waje kutugawia fito baada ya damu kumwagika.--- naomba tusifikie huko.
Ndio maana utaona Mh.Rais hizi teuzi za hivi karibuni kaamua kuteua walioko ofisini sio vijana wa uvccm hiyo inaonyesha vijana wengi wa ccm hawana uwezo wa kiuongoziVIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana...
Wee kilaza kweli alete ushahidi gani tena wakati matokeo yalitangazwa na kwamba wajumbe wa bara wanaopiga kura ni 129 Zanzibar ni wajumbe 35 shamsi alipata kura 16. DK alipata kura 19 umeelewa hapoLete ushahidi kwa sababu kura zilikuwa za siri!
Hujui jumla ya wajumbe wa Nec Zanzibar ni 35.Hakuna kitu cha kuogopa sasa hivi duniani kama Mwenyezi Mungu na teknolojia ,bado unataka ushahidi?
Wajinga sana hawa vijanauvccm kwa sasa wanachojua ni kuteka, kupiga risasi , kutukana mtu mwenye mawazo tofauti......Yaani hawajaandaliwa kuwa viongozi wanafundishwa udikteta kwa vitendo awamu hii.
Ila sasa.....WHAT GOES AROUND COMES AROUND.....Udikteta walioupalilia umekuja ndani mwao wameanza kukanyagana
Wewe kweli mbwiga.Wee kilaza kweli alete ushahidi gani tena wakati matokeo yalitangazwa na kwamba wajumbe wa bara wanaopiga kura ni 129 Zanzibar ni wajumbe 35 shamsi alipata kura 16. DK alipata kura 19 umeelewa hapo
Ndugu Sky Eclat, sijui ukweli unamipita wapi, ndugu mmejipifua sana kwa kukataa kuyaona maovu ndani ya chama chenu, hadi linefanya kuwa macho yenu hayaoni ukweli.CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Umejuaje kama hao 35 hawakumpigia kura Dr Mwinyi?!
Namba hazidanganyiLete ushahidi kwa sababu kura zilikuwa za siri!
Ukiacha kikundi cha ccm, HAKUNA mtanganyika mwenye haja na muungano. Znz ni koloni la ccmUtavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Kwa hiyo wajumbe wote toka zenji walimkataa ila akapitishwa na wadanganyika, eeh?Hujui jumla ya wajumbe wa Nec Zanzibar ni 35.Hakuna kitu cha kuogopa sasa hivi duniani kama Mwenyezi Mungu na teknolojia ,bado unataka ushahidi?
Uko kihisia zaidi siyo Uhalisia.Ata hili unataka ufafanuzi ama limurikwe tochi? unaambiwa wajumbe kutoka Zanzibar ni 35 na zile kura za shamsi na Khalid ni 35, lakini idadi ya wajumbe kutoka Tanganyika ni iliyobaki kwenye Idadi ukitoa 35, Kwa akili yako yakawaida tu bila ya akili ya darasani ivi kweli Mizengopinda anaweza kumpigia kura Dr. Khalid ama Shamsi?
Haya mambo yapo miaka nenda miaka rudi, Wazanzibari na maalim seif wamepiga kelele mpaka vifua vimewakauka lakini ccm wa zanzibar bado walikuwa na tamaa watampata rais wao wamtakae. Sasa matokeo yake pressure imeanza kuwakumba huko huko Dodoma, na kama mwinyi ndo atafuata nyayo za mkuu ccm zanzibar wategemee anguko kubwa la wale waliokuwa wakijifanya wana hati miliki kwenye chama cha Mapinduzi Zanzibar.
Usitukane wazanzibari , wazanzibari wanajitambua kuliko mnavojitambua(watanganyika) tatizo CCM Zanzibar wachache wameisaliti Zanzibar kwa masilahi binafsi. Binafsi nadhani hatimaye adui amejulikana kilichobakia is to bury the little differences among Zanzibaris and bury the hatchet in head of common enemy.Wazanzibari wenyewe hawajitambui, wameuza nchi yao kwa Tanganyika. Wacha Watanganyika wawateulie rais