Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ndiyo maana wajumbe wa zanzibar jana wametoka ukumbini wakiwa wanalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa hakuna tume huru basi kamwe usilitegemee hlo.CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Mkuu, wale wahuni wa Lumumba hawajui hesabuWee kilaza kweli alete ushahidi gani tena wakati matokeo yalitangazwa na kwamba wajumbe wa bara wanaopiga kura ni 129 Zanzibar ni wajumbe 35 shamsi alipata kura 16. DK alipata kura 19 umeelewa hapo
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga.VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.
Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.
Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.
Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
Ole Mushi
0712702602
CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Eti na Mgombea JMT naye kapata kura asilimia 💯 unataka kusema na huyu mjumbe amepiga kura ya ndiyo?Umejuaje kama hao 35 hawakumpigia kura Dr Mwinyi?!
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Duh.. aliyeshindwa kutangazwa mshindi ww unaona ni sawa??Ndugu Sky Eclat, sijui ukweli unamipita wapi, ndugu mmejipifua sana kwa kukataa kuyaona maovu ndani ya chama chenu, hadi linefanya kuwa macho yenu hayaoni ukweli.
Sky uchaguzi kwa Maalim umezidi kuwa mgumu na ushaguzi wa halali umetoweka kabisa. Msitegemee ACT kutangazwa mshindi hata siku moja, kama Mbowe atakovyo kosa kiti chake cha ubunge hata akipata 70% ya kura, kama atagombea ubunge badala ya Uraisi
Uko kihisia zaidi siyo Uhalisia.
Kura ya Pinda wewe uliiona?
Yapo Mambo mengi sana wananyonywa mkuu!! Kwana ZNZ haina kiti Umoja wa mataifa , Pili zanzibar haiwezi kuchukua mkopo IMF au WB , Bajeti ya kuendesha nchi mpaka hisani ya tanganyika etcElezea unawanyonya kivipi ?
Huyo analia kwa furaha!Eti na Mgombea JMT naye kapata kura asilimia 💯 unataka kusema na huyu mjumbe amepiga kura ya ndiyo?
Mbona wajumbe wa CCM , NEC Zanzibar inasemwa wako 68?Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Kilichokuwa siri ndio hicho kimewekwa wazi,simple. Ukikana unaleta ukweli wa kwako.Lete ushahidi kwa sababu kura zilikuwa za siri!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usitukane wazanzibari , wazanzibari wanajitambua kuliko mnavojitambua(watanganyika) tatizo CCM Zanzibar wachache wameisaliti Zanzibar kwa masilahi binafsi. Binafsi nadhani hatimaye adui amejulikana kilichobakia is to bury the little differences among Zanzibaris and bury the hatchet in head of common enemy.
Naiona nafasi ya maalim Seif Sharif pale michenzani akiibuka rais wa ZanzibarMatokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Hao wamebaki kua walamba makalio wakisubiri vyeo kumbe mkuu pia anaangalia na kanda kabila na dini piaNdio maana utaona Mh.Rais hizi teuzi za hivi karibuni kaamua kuteua walioko ofisini sio vijana wa uvccm hiyo inaonyesha vijana wengi wa ccm hawana uwezo wa kiuongozi
CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Acha waisome namba sasaWajinga sana hawa vijana