Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

Wee kilaza kweli alete ushahidi gani tena wakati matokeo yalitangazwa na kwamba wajumbe wa bara wanaopiga kura ni 129 Zanzibar ni wajumbe 35 shamsi alipata kura 16. DK alipata kura 19 umeelewa hapo
Mkuu, wale wahuni wa Lumumba hawajui hesabu
 
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga.

Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.

++++++++++++++++++++++++++
du!!!
 
Wajumbe kutoka znz ni 67 sio idadi hiyo aliyosema jamaa
 
Duh.. aliyeshindwa kutangazwa mshindi ww unaona ni sawa??
 
Uko kihisia zaidi siyo Uhalisia.

Kura ya Pinda wewe uliiona?

Nimekupa mfano tu, siku zote mmekuwa mukiambiwa na hao wakuu wenu uchanganye na akili za ziada katika mambo wewe bado upo kwenye giza nene
 
Mbona wajumbe wa CCM , NEC Zanzibar inasemwa wako 68?
 
Zanzibar hatuna figisu figisu wala fekenye fekenye, Muungano wetu ni zaidi ya hayo.
Wenye visokorokwinyo shauri yenu, CCM mbele kwa mbele.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naiona nafasi ya maalim Seif Sharif pale michenzani akiibuka rais wa Zanzibar
 
Ndio maana utaona Mh.Rais hizi teuzi za hivi karibuni kaamua kuteua walioko ofisini sio vijana wa uvccm hiyo inaonyesha vijana wengi wa ccm hawana uwezo wa kiuongozi
Hao wamebaki kua walamba makalio wakisubiri vyeo kumbe mkuu pia anaangalia na kanda kabila na dini pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…