Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

Utavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
umenena vizuri mkuu ni kweli ni suala la muda sababu kila lenye mwanzo lina mwisho!
tatizo ni kuwa hiyo siku ya kuuvunja muungano ni miaka mingi mno ijayo labda hatutakuwepo kwahiyo it doesnt matter!!
safari mpya ya matumaini ya kuuvunja muungano itaanza tena upya miaka kumi ijayo!!
ushauri wangu ni bora wazenji kuukubali ukweli kuwa wameungana na bara ili waishi kwa raha!
 
Mimi namshauri Dr Hussein asitumie staili ya JPM kuiongoza Zanzibar kwa sababu wazanzibari ni tofauti kabisa na wabara.
 
 
Inamaana hata yeye mwenyewe Mwinyi hakujipigia kura?
 
Point yako nzuri sana, ila ukirudi nyuma utagundua kuwa wengi wa hao waliokuwa CHADEMA ni wale waliokuwa CCM (sipokuwa labda Mtatiro na Kafulila), lakini wakafanyiwa rafu ndipo wakakimbilia CHADEMA na kushinda wakiwa kule. Naona CCM inachotaka kufanya ni kuondoa rafu za waziwazi, waache wote washindane kwenye level ground moja, halafu mshindi atakayekubaliwa hata na aliowashinda ndiye apewe kijiti.
 
Ndugu mnapiga kelele bure, Jee mnajua kuwa hakuna wakati wazanzibari wamejichagulia kiongizi wa chaguo lao, Always Bara ndiyo yenye uamuzi, kuanzia Mzee Karume ambaye hakuhusika na mapinduzi, baada ya John Okelo na genge lake kupindua serekali ya sultan, nyerere akamuita Dar wazungumze, Okelo alipofika hakurusiwa tena kurudi Znz, na baadaye akarudishwa kwao Uganda. Baada ya Okelo kutua Dar, Nyerere alimtuma Karume aliyekuwa mafichonj kwenda kushika usukani wa dola.

Jee mnajua kuwa Karume ni Mmalawi aliyezaliwa malawi, alikuja Zanzibar na wazazi wake akiwa mdogo sana.
 
Kwa hiyo Husein Mwinyi hakujipigia kura au?

Naye si mjumbe kutoka Zanzibar. Tuache ramli chonganishi
 
Sijui nini kimekuja kutokea na kuipotosha ccm mpya. Mwanzoni wakati wa kuunganisha TANU na ASP jitihada zilikuwa zinafanyika kuzipa pande zote mbili za muungano uzito unaofananafanana.
 
Wak
Bahati yao mbaya,inawachukua muda kuja kuelewa kuwa CDM na Upinzani kuna wazalendo wa kweli na siyo hawa wa plastic waliopo huko CCM hasa hii mpya.Wanaimba mapambio ambayo mtunzi/producer wao ni Polepole,unatarajia Mhe.Rais afanyeje?
Wangekubali tu CDM iongoze nchi kwa walau miaka mitano tufanye ulinganifu baina yao na hawa CCM.Tukigundua hawawezi tutairudisha CCM na/au kuipa ACT Wazalendo,NCCR Mageuzi,UDP,UPDP,CHAUMA,TADEA,CUF etc.Endapo CDM/ACT Wazalendo wakiungana tunaweza kuisahau CCM na Watanzania hawatawasamehe kamwe na itapotea kama KANU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…