Kama alishindwa kwa Shein ataweza kwa Mwinyi?
Dont under estimate nguvu ya Ccm znz
Dont under estimate nguvu ya Ccm znz
CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Muogope adui aliye kimya hujui mawazo yake.Kama alishindwa kwa Shein ataweza kwa Mwinyi?
Dont under estimate nguvu ya Ccm znz
umenena vizuri mkuu ni kweli ni suala la muda sababu kila lenye mwanzo lina mwisho!Utavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Mimi namshauri Dr Hussein asitumie staili ya JPM kuiongoza Zanzibar kwa sababu wazanzibari ni tofauti kabisa na wabara.Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Hata Samia hataki Muungano?Utavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Inamaana hata yeye mwenyewe Mwinyi hakujipigia kura?Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Hauoni SAMIA ni mnufaika wa MUUNGANO? Ameungana na wanyonyaji.Hata Samia hataki Muungano?
Point yako nzuri sana, ila ukirudi nyuma utagundua kuwa wengi wa hao waliokuwa CHADEMA ni wale waliokuwa CCM (sipokuwa labda Mtatiro na Kafulila), lakini wakafanyiwa rafu ndipo wakakimbilia CHADEMA na kushinda wakiwa kule. Naona CCM inachotaka kufanya ni kuondoa rafu za waziwazi, waache wote washindane kwenye level ground moja, halafu mshindi atakayekubaliwa hata na aliowashinda ndiye apewe kijiti.VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.
Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.
Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.
Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
Ole Mushi
0712702602
Na ndio demokrasiaMchawi wa Wazanzibari ni CCM.
Kwa hiyo Husein Mwinyi hakujipigia kura au?Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Hao 35, na Husein Mwinyi si yupo humo. Hakujipigia kura sio?Hujui jumla ya wajumbe wa Nec Zanzibar ni 35.Hakuna kitu cha kuogopa sasa hivi duniani kama Mwenyezi Mungu na teknolojia ,bado unataka ushahidi?
Sky, Seif anashinda kila chaguzi ila hatangazwi. Same thing will happen in Oct. JPM ni hatari zaidi ya MkapaCCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Walochanjwa haweko tena. Sasa tuvunjiane vipande tuTulichanjiana damu na udongo pia hahaaa
Sijui nini kimekuja kutokea na kuipotosha ccm mpya. Mwanzoni wakati wa kuunganisha TANU na ASP jitihada zilikuwa zinafanyika kuzipa pande zote mbili za muungano uzito unaofananafanana.Umemjibu vema kabisa. Na anasahau kabisa kuwa ZEC inamtaka mtu kuwa mzanzibar (wao wanaita mkaazi) ili kuwa mpiga kura au mgombea. Kama jamaa alikuwa Mbunge wa Mkuranga - wanamchukulia sio mzanzibar na ndio maana alishinda kwa kura za wabara!! Mimi sielewi ni kwanini wajumbe watofautiane kwa idadi kati ya nchi hizi mbili. Labda ni kwa kuwa siko katika siasa lakini ni dhahiri maamuzi ya wanaCCM Zanzibar yatafanywa na CCM Bara - siku zote!!
Naona njia nyeupe kwa Seif, ziliwemo kura nyingi za wanaCCM hasa baada ya mshindi kusema ataongoza Zanzibar kama JPM anavofanya Bara!
Amefanya assumption ....na anaweza akawa sahihi.Juzi Nyuso za Wanzibar zilionekana kuongea machungu!Umejuaje kama hao 35 hawakumpigia kura Dr Mwinyi?!
Bahati yao mbaya,inawachukua muda kuja kuelewa kuwa CDM na Upinzani kuna wazalendo wa kweli na siyo hawa wa plastic waliopo huko CCM hasa hii mpya.Wanaimba mapambio ambayo mtunzi/producer wao ni Polepole,unatarajia Mhe.Rais afanyeje?VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.
Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.
Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.
Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
Ole Mushi
0712702602