Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Kuna madaktari na manesi kibao wanaozalisha ila hawana heshima kwa wanawake.Kwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani.
Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako hautabaki kama ulivyokuwa hapo kabla.
Kama maneno matakatifu kutoka kwenye biblia yanavyosema kwamba mwanamke atazaa kwa uchungu , kwa kweli hali hiyo inatisha sana.
Kwa sababu na wao ni wanawake wanapitia huo uchunguMbona wapo wanawake na hawawaheshimu wanawake wenzao na leba wanakufahamu πππ
Weesiku nilienda lebour na mke wangu kile nilichoshughudia/kusikia kwa kweli mwanamke aheshimiwe sanaKwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani
Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako hautabaki kama ulivyokuwa hapo kabla
Kama maneno matakatifu kutoka kwenye biblia yanavyosema kwamba mwanamke atazaa kwa uchungu , kwa kweli hali hiyo inatisha sana
Hongera sana mkuuWeesiku nilienda lebour na mke wangu kile nilichoshughudia/kusikia kwa kweli mwanamke aheshimiwe sana
Unaujuaji wa kijinga sana.Hakuna uhusiano wowote wa maandiko/maneno matakatifu na wanawake kuzaa kwa uchungu.
Uchungu wa kuzaa upo kwa wanyama wote wanaozaa. Sio kwa binadamu tu.
Kwanzia wanyamapori hadi wanyama wakufugwa wanaozaa, wote hupitia maumivu na uchungu na wengine hufikia hatua ya kupoteza uhai katika zoezi la kuzaa.
Pain during childbirth happens because the body is being forcefully stretched to allow the baby to pass through a narrow passage.
Pain during labor is universal to all ANIMALS who give live birth. It affects Elephants π, Lions π¦, Cows π, Cats π, Dogs π, Dolphins π¬, Kangaroos π¦ e.t.c
Pain during labor is NOT Gender-Specific Punishment.
Achana na hekaya za Biblia zisizo na kichwa wala miguu.
Unasoma biblia gani Kwan mdauHakuna uhusiano wowote wa maandiko/maneno matakatifu na wanawake kuzaa kwa uchungu.
Uchungu wa kuzaa upo kwa wanyama wote wanaozaa. Sio kwa binadamu tu.
Kwanzia wanyamapori hadi wanyama wakufugwa wanaozaa, wote hupitia maumivu na uchungu na wengine hufikia hatua ya kupoteza uhai katika zoezi la kuzaa.
Pain during childbirth happens because the body is being forcefully stretched to allow the baby to pass through a narrow passage.
Pain during labor is universal to all ANIMALS who give live birth. It affects Elephants π, Lions π¦, Cows π, Cats π, Dogs π, Dolphins π¬, Kangaroos π¦ e.t.c
Pain during labor is NOT Gender-Specific Punishment.
Achana na hekaya za Biblia zisizo na kichwa wala miguu.
Baadhi ya wanawake wana roho ngumu anajifungua kwa uchungu still anabambikia mtu mtotoKwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani
Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako hautabaki kama ulivyokuwa hapo kabla
Kama maneno matakatifu kutoka kwenye biblia yanavyosema kwamba mwanamke atazaa kwa uchungu , kwa kweli hali hiyo inatisha sana
DuhKuna siku nilikaa masaa mawili kwenye chumba cha kujifungulia cha mama wajawazito
Yale masaa mawili yalibadili kabisa mtazamo wangu kuhusu wanawake wajawazito
Aisee salute kwa wanawake wote wasiotoa mimba
Yale masaa mawili yalifanya niwadharau sana ******* wanaonyonya uchi wa mwanamke
Daktari anavaa gloves kulivyo kuchafu msenge unapitisha ulimi ulaaniwe ********
πWazee wa chumvini naamini kabisa ujumbe wenu mmeupokea kisawasawaKuna siku nilikaa masaa mawili kwenye chumba cha kujifungulia cha mama wajawazito