Hutakaa umuheshimu mwanamke mpaka siku utakayoshuhudia akijifungua

HOnestly aende clinic mpk kujifungua salama, nita provide Ila kumwangalia au kuwa naye wakati anajifungua hpn......

Akili yangu inawezkn ikaathirika moja kwa moja , sorry for saying this

Hongera kwa wanawake wote walioitwa mama, hata ambao bado wakati wenu upo utamnyonyesha mwanao, 😍
 
Kwani kuzaa ni jambo la ajabu? Kuzaa ni jukumu kao wanawake ni kama ushangae mwanaume kuhudumia familia wakati ni jukumu la msingi..
 
Mkuu kila mtu na starehe yake
 
Nitamheshimu mwanamke anayejiheshimu mengine ni mambo ya asili kwa agizo la Mungu. Hebu pima kazi anayofanya mwanaume mwajibikaji ya kulisha na kuihudumia familia yake hadi anaingia kaburini. Mwanamke anazaa mara moja na hadi abebe tena mimba na isitoshe wengi siku hizi wanazaa kwa kisu.
 
Acha Upuuzi wako, unaiga ushoga wa wazungu, Mwanamke wakati wa kujifungua wanaotakiwa kumzunguka ni MANESI/Wakunga, Mama yake/Mama yako au ndugu yeyote wa karibu WA KIKE.
KATIKA MIRA NA DESTURI, hili ni tukio linalohitaji PRIVACY, KUJISITIRI,
Mwanaume ukijaribu kwenda siku Mkeo anazaa, WOTE WEWE NA MKEO ita waathiri kisaikolojia , Yale utakayoyaona kule yatakaa kichwani kwako na Mkeo ile aibu ya kujua kuwa wewe ulimshuhudia itabaki akilini mwake na self confidence yake itashuka. Waachieni Wazungu na Usenge wao, Msiige kila kitu. Hili suala si mchezo, Litakuefect, ukitoka pale siku hiyo, Mkeo hutokuwa na mvuto nae na matamanio uliyokuwa nayo before yatapungua..... kwa asilimia fulani, na kama ulikuwa ni mtu wa kwenda Chumvini from time to time SAHAU BAADA YA HAPO.
Anyways, Usiseme sikukwambia. Mambo kama haya ndo yanapelekea USENGE NDANI YA NDOA NA HATIMAYE NDOA KUVUNJIKA, Kwasababu Ule Mvuto haupo tena. Because your mind is ***...ed..
 
Inasikitisha sana
 
Utakaa na msimamo wako huu wa kijinga mpaka siku utakayomshuhudia akijifungua
 
Mkuu uchungu unaozungumzwa kwenye Biblia ni hatua (stage) ambayo lazima mwanamke apitie. Ni maumivu yaliyoongezwa kwenye hiyo hatua. Ndio maana kuna dawa za kuanzisha uchungu, yaani zinaanzisha hatua ya mtu kujifungua. Ndio maana baadhi ya wanawake hupewa dawa za kuanzisha uchungu (stage) na sio kuanzisha maumivu.
 


Hata mwanaume hatoheshimika mpaka siku ukimuona ameingia futi 200 ndani ya maji ya bahari ili kupata kipato chake cha kila siku
 
Mimi n imezalisha sana na bado nikipata nafasi ya kuzalisha nazalisha ila wanawake baadhi yao ni takataka tu
 
Inasemekana Fisi ndo mnyama anayezaa kwa uchungu kuliko mnyama yoyote yule.
 
Kuna utofauti gani kati ya uchungu na maumivu?
 
Kuna utofauti gani kati ya uchungu na maumivu?
Inaweza kuwa ngumu kuelezea ila utofauti upo kama hivyo ulivyotaja wewe, uchungu, maumivu kuwa ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…