Hutaki kugawana Mali zako halafu unafunga ndoa, una akili sawasawa KWELI? Ni Bora usioe tuu!

Bila mwanamke Dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Kenge tuu hawa wagegede alafu tupa kule
 
Sio wote hawa unaowaongelea hapa ni wadangaji ukioa mdangaj lazima kikulambe
 
Mapenzi hayana formula,labda kama mtu uamue kuoa kimkakati tu bila kuhusisha hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…