Wapinga chanjo na wapotoshaji katika ubora wake,kachanje acha porojo.Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo.
Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe majaribio haya? Hii ni laana ama ni kitu gani?
Toa mawazo yako kwa njia ijengayo.
Sawa Kibwetere unao Uhuru wa kupanga na kuchagua.Mimi hio chanjo nitaisikia kwa watu tu SICHANJI ng'o
Chanjo imegandisha ubongo kiongozi? Nenda kapime kama kipimo kipo usije kuwa umeshaanza kuwa toy tayari. Tunakupenda bado.Wapinga chanjo na wapotoshaji katika ubora wake,kachanje acha porojo.
Unao uhuru wa kujichagulia ila sii kuwa chagulia au kuwapotosha wengine.Kwani muheshimiwa Mbowe anasemaje? Maana na yeye ni mmoja wa watu waliowahi kuhimiza kuwa watanzania wachanjwe kwa usalama wa afya zao, ilhali wale waliopuuza kuchanjwa mmoja wao akiwa kaka yake mwenyewe walitangulia mbele ya haki kwa ugonjwa ule ule wa tatizo la kupumua.
Chanjo imegandisha ubongo kiongozi? Nenda kapime kama kipimo kipo usije kuwa umeshaanza kuwa toy tayari. Tunakupenda bado.
hahaahahahahhahah mbavu zanguChanjo imegandisha ubongo kiongozi? Nenda kapime kama kipimo kipo usije kuwa umeshaanza kuwa toy tayari. Tunakupenda bado.
Kwani muheshimiwa Mbowe anasemaje? Maana na yeye ni mmoja wa watu waliowahi kuhimiza kuwa watanzania wachanjwe kwa usalama wa afya zao, ilhali wale waliopuuza kuchanjwa mmoja wao akiwa kaka yake mwenyewe walitangulia mbele ya haki kwa ugonjwa ule ule wa tatizo la kupumua.
Haya ndio yanayosemwa na raisi Samia kila siku.Unao uhuru wa kujichagulia ila sii kuwa chagulia au kuwapotosha wengine.
Ila kupotosha sii hiariKuchanja ni hiari
Andika kwa herufi kubwa kubwa kaka isomeke vizuri au igeuze iwe videoMimi hio chanjo nitaisikia kwa watu tu SICHANJI ng'o