Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

[emoji848][emoji848][emoji848]
Au basi! Msije kusema natukana!
 
Kwa hiyo na Wateja wapo standby ama? Maana nyie Motivational Speakers mna mambo sana.
 
Kipindi anasubiria Mchongo mwingine utiki arafuatiakiaje ilihali na yeye anatakiwa awepo machombo ya komoto?

6000 per day Bora akapige debe stand 200/bus akipoga gari 70sio mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh!
Hii ni utumwa toshaπŸ€”.. aisee!
Umesema kuna michongo mingi sa mbona unaleta huu wa kuwatoa madogo kafaraπŸ™„
 
Kwenye 3000 inayobaki toa 1000 ya maziwa fresh kila jioni na 500 ya kununua dawa ya kutuliza maumivu ya kichwa kila jioni.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Maziwa ya fresh ni anasa..

Hiyo buku Bora ununue big G, ili utafune na uonekane na tabasamu baada ya KaZI ngumu.

Cuz BILA big G hutakuwa na tabasamu na utasingiziwa kuwa ni kibaka, na utakufa vibaya BILA ya kuonja mema...na utakosa pia wale bikra 70
 
Yan ndoo sh 200...si bora hata utembeze maji mjini.
 
Dah afu umekaa zako unaponda kokoto, simu inaita hauisikii.....jioni umemaliza ndoo ya 30 unavuta pumzi kucheki simu unakutana na missed calls 20 na msg "endelea na hao malaya wako" 😹

Hii dunia ni kuteseka mwanzo mwisho
 
Huyo ni mvivu,kuna madogo wapo huku age 17-23 wanagonga debe33(ndoo) daily na ndoo ni tsh300,Kila siku wanaondoka na elfu 10
 
Huna akili ukikosea ukagonga dole gumba matibabu yake ni hela ambayo ungegonga kokoto siku tano
 
Huna akili ukikosea ukagonga dole gumba matibabu yake ni hela ambayo ungegonga kokoto siku tano
Na vipi walio dondokewa na jengo pale kariakoo?
Ukigonga kidole hiyo ni ajali kazini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…