Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line.
  • Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka.
  • Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china.
  • Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye kulipwa chake mapema.
  • Pesa yenyewe interest ya kutosha, kwa viongozi waliosaini sio mbaya kwani ni walipa kodi wa kenya.
Tuendelee kulipa kodi ndugu wananchi.
 

Attachments

And Since wachina ndio hawa hawa hawajabadilika tutegemee tulichofanya / sorry walichofanya juzi huko China kitakuwa kama hiki.

Alafu ajabu mmojawapo aliyekuwepo leo kesho akipata chance ili kujikosha atatoka nje na kusema / kushangaa walichofanya wenzake (kama vile alikuwa safari).

Hawa politicians hawa.
 
Back
Top Bottom