bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line.
- Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka.
- Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china.
- Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye kulipwa chake mapema.
- Pesa yenyewe interest ya kutosha, kwa viongozi waliosaini sio mbaya kwani ni walipa kodi wa kenya.