Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Nov 7, 2022 #1 Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi. Attachments KENYA SGR Contract.pdf KENYA SGR Contract.pdf 1.9 MB · Views: 8
Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Nov 7, 2022 #2 Mkuu ukipata muda na kama ikikupendeza, tuwekee na mikataba ya Tanzania na China iliyosainiwa juzi na mama
Mkuu ukipata muda na kama ikikupendeza, tuwekee na mikataba ya Tanzania na China iliyosainiwa juzi na mama
C Chikaka mgiliki Senior Member Joined Mar 14, 2022 Posts 169 Reaction score 316 Nov 7, 2022 #3 Na mkataba wa mafuta na gesi wa Tanzania na China.Tuwekee tuuone.
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Nov 7, 2022 #4 Mcqueenen said: Mkuu ukipata muda na kama ikikupendeza, tuwekee na mikataba ya Tanzania na China iliyosainiwa juzi na mama Click to expand... Kuna ufedhuli mwingi ndio maana wanaficha. Ila wataachia tu ni swala la muda.
Mcqueenen said: Mkuu ukipata muda na kama ikikupendeza, tuwekee na mikataba ya Tanzania na China iliyosainiwa juzi na mama Click to expand... Kuna ufedhuli mwingi ndio maana wanaficha. Ila wataachia tu ni swala la muda.
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Nov 7, 2022 #5 Naona waKenya wameamua kuvuana nguo hadharani. Ruto Vs Uhuru
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Nov 7, 2022 #6 Kinyungu said: Naona waKenya wameamua kuvuana nguo hadharani. Ruto Vs Uhuru Click to expand... Wacha tu wavuane.
Kinyungu said: Naona waKenya wameamua kuvuana nguo hadharani. Ruto Vs Uhuru Click to expand... Wacha tu wavuane.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Nov 10, 2022 #7 Nyang'au wameliwa.