Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ufedhuli mwingi ndio maana wanaficha. Ila wataachia tu ni swala la muda.Mkuu ukipata muda na kama ikikupendeza, tuwekee na mikataba ya Tanzania na China iliyosainiwa juzi na mama
Wacha tu wavuane.Naona waKenya wameamua kuvuana nguo hadharani. Ruto Vs Uhuru