- - Mungu aliona aweke mashino mawili ambayo yote yameunganishwa kwenye pipe moja ya juu hivyo shimo moja likiziba jingine litatumika kama dharula.
- Mungu akaona kuwa pua inapaswa kuwa na uwezo wa kugundua harufu mbalimbali za kipekee, hivyo akaongeza seli maalum za harufu ambazo sio tu zinatambua chakula au maua, bali pia zinagundua mabadiliko ya mazingira kama vile hewa yenye sumu au mvua inayokuja.
- - Mungu baadaye akapitisha bomba ndogo ndogo kutokea kwenye macho hadi kuingia puani kiasi kwamba ukiingilia na mdudu machoni na pua zinaanza kulia, au ukiweka dawa ya macho lazima nyingine ishuke hadi kwenye connector ya puani.
- - Mungu akasema ngoja aweke matope matope ya kamasi ambayo yapo ndani zaidi haya matope matope kazi yake ni moja ikitokea nywele au mdudu atapitiliza kuingia ndani kabisa basi haya matope yatamgundisha hapo hapo hadi umtoe.
- - Mungu akaona pia puani ndipo pawe sehamu ya mapafu kupozea joto, ili joto hilo litumike pindi umelala wadudu wadogo waogope kuingia ndani kuhofia joto kali la moto hawawezi kuingia kuchomeka.
- -Mungu alienda ndani kwenye kona za juu akaweka vinasa harufu ila shida moja alipitisha mishipa ya kuonja radha kwenye ulimi kiasi kwamba ukipoteza radha / hamu ya kula chakula kama pua itaivuta harufu hiyo kwa mdaa na kufanya upate kukinaa chakula mapema, ndo ile unatenga chakula wewe unagusa gusa umeshiba.
- - Pindi Mungu anataka kwenda kupumzika akaona ngoja aweke nywele vidongo sana kwenye pua, ila hapa Mungu aliwaza sijui nini hizi nywele aliziunganisha na mishipa ya ubongo kiasi kwamba kitu chochote kikizigusa mwili wote unasisimuka na kufanya chafya kali, mafua makali, homa kali, kuchanganyikiwa kwa mdaa, kucheka kichwa n.k