Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Napaswa kujiepusha mjadala na wewe kwa sababu kum weka ignore mwanasimba mwenzangu si vizuriš¤£
Mijadala yako naijua bwashee
Ha ha ha.... Kumbe wewe ni Mkia? Subiria tarehe 19. Tutawachabanga sana. Mimi mijadala yangu ni kama Tundu Lissu natoa darsa kwa wakati mmoja.