Mungu hana pua bossNa ufundi wa pua ya Mungu umewekwa na nan?
Ana nini , unaonekana unajua sana bwashee 🤔Mungu hana pua boss
Yani hana. Mbona unalazimisha awe nayo? 😆Ana nini , unaonekana unajua sana bwashee 🤔
Sio nalazimisha Hata tu kuwepo hayupo , ndio nataka nipate uthibitisho hapaYani hana. Mbona unalazimisha awe nayo? 😆
Mungu hataki makofi anataka umuabudu na uwe mwema kwa viumbe vyake, Uwezo wa Mungu ni mkubwa sana. Lakini binaadamu hatuna shukurani.kweli unashindwa kumpa makofi Mungu kwa ufundi huu, wewe ungeweza ????
Uthibitisho kwamba hayupo au ana pua au hana pua?Sio nalazimisha Hata tu kuwepo hayupo , ndio nataka nipate uthibitisho hapa
Ukimaliza uthibitisho wa uwepo wake , tutakuja kwenye muundo wa pua , kama tulivyofanya kwa binadamuUthibitisho kwamba hayupo au ana pua au hana pua?
Sio nalazimisha Hata tu kuwepo hayupo , ndio nataka nipate uthibitisho hapa
Sitajibu wewe zaidi ya hapaKama hayupo unataka uthibitisho wa nini?
Mimi nampongeza aliyempa huyo mungu akili ya kuumba ulimwengu na vitu vilivyopokweli unashindwa kumpa makofi Mungu kwa ufundi huu, wewe ungeweza ????
- - Mungu aliona aweke mashino mawili ambayo yote yameunganishwa kwenye pipe moja ya juu hivyo shimo moja likiziba jingine litatumika kama dharula.
- Mungu akaona kuwa pua inapaswa kuwa na uwezo wa kugundua harufu mbalimbali za kipekee, hivyo akaongeza seli maalum za harufu ambazo sio tu zinatambua chakula au maua, bali pia zinagundua mabadiliko ya mazingira kama vile hewa yenye sumu au mvua inayokuja.
- - Mungu baadaye akapitisha bomba ndogo ndogo kutokea kwenye macho hadi kuingia puani kiasi kwamba ukiingilia na mdudu machoni na pua zinaanza kulia, au ukiweka dawa ya macho lazima nyingine ishuke hadi kwenye connector ya puani.
- - Mungu akasema ngoja aweke matope matope ya kamasi ambayo yapo ndani zaidi haya matope matope kazi yake ni moja ikitokea nywele au mdudu atapitiliza kuingia ndani kabisa basi haya matope yatamgundisha hapo hapo hadi umtoe.
- - Mungu akaona pia puani ndipo pawe sehamu ya mapafu kupozea joto, ili joto hilo litumike pindi umelala wadudu wadogo waogope kuingia ndani kuhofia joto kali la moto hawawezi kuingia kuchomeka.
- -Mungu alienda ndani kwenye kona za juu akaweka vinasa harufu ila shida moja alipitisha mishipa ya kuonja radha kwenye ulimi kiasi kwamba ukipoteza radha / hamu ya kula chakula kama pua itaivuta harufu hiyo kwa mdaa na kufanya upate kukinaa chakula mapema, ndo ile unatenga chakula wewe unagusa gusa umeshiba.
- - Pindi Mungu anataka kwenda kupumzika akaona ngoja aweke nywele vidongo sana kwenye pua, ila hapa Mungu aliwaza sijui nini hizi nywele aliziunganisha na mishipa ya ubongo kiasi kwamba kitu chochote kikizigusa mwili wote unasisimuka na kufanya chafya kali, mafua makali, homa kali, kuchanganyikiwa kwa mdaa, kucheka kichwa n.k
Na aliye mpa nae itakua kapewa , hivyo hivyo bila mwishoMimi nampongeza aliyempa huyo mungu akili ya kuumba ulimwengu na vitu vilivyopo
Sitajibu wewe zaidi ya hapa
HahaaaaaNa aliye mpa nae itakua kapewa , hivyo hivyo bila mwisho
Napaswa kujiepusha mjadala na wewe kwa sababu kum weka ignore mwanasimba mwenzangu si vizuri🤣Unataka nawe uwe na Identity kuwa ni watu wasiokubali uwepo wa Mungu? 😀
Hii ni aya Mojawapo ya aya za kwenye kitabu chake Mungu, amesema hivi:-Ukimaliza uthibitisho wa uwepo wake , tutakuja kwenye muundo wa pua , kama tulivyofanya kwa binadamu
Hahahaha hata uthibitisho wangoma kubwa ya juma na uledi si inapatikana kwenye aya ya vitabu bwashe?Hii ni aya Mojawapo ya aya za kwenye kitabu chake Mungu, amesema hivi:-
"Naye (Mungu) ndiye Aliyeitandaza ardhi
na Akaweka humo majabali na mito. Na
katika kila matunda akafanya humo
namna mbili (dume na jike). Huufunika
usiku juu ya mchana. Hakika katika
hayo zimo Ishara kwa watu wenye
kufikiri."
Hio ni ishara tu mojawapo inayonifanya nimuamini kuwa yupo, kwani nina akili timamu.
Je wewe unaweza thibitisha kuwa Hayupo?