smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
Watu wanaoamini katika asili ndio wanaoutawala ulimwengu. Hata hao wenye teknolojia na waliotulietea hicho unachokiita usomi wanaamini sana katika asili .
Wahindi,
Wachina,
Wajapani,
Wakorea.
Waisraeli
Waarabu,
Na Sasa Wanigeria na wakongo.
Na pia mabilionea Wanaojiita Mitume feki na manabii feki na pia wasanii.
Bila kusahau Wazungu waliojificha nyuma ya pazia la dini za asili ya Rumi au Roman n.k . Wote hao wanajifunza sana mambo ya asili na wapo more advanced katika teknolojia na maarifa.
Unajua ni Kwa ni ni wasomi wa Kiafrika maendeleo yao ni ama kuiba Mali za umma au kuwekeza Kwa kushirikiana na wahindi na sio Vinginevyo. Biashara nyingi zinahitaji maarifa ya asili.
if "mambo ya asili" is something that powerful, kwanini majority ya watz wanaomini na ku practice hizo mambo, kiuchumi wapo dhohofu lihali?. huhitaji degree kulitambua hilo.
kwanini ni jamiii hizo tu ulizotaja ndio zinaonekana kufanikiwa zaidi duniani ktk nyanja zote(uchumi,sayansi,huduma za kijamii nk)?.
naomba majibu yako ndg. mtaalamu.