Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

Watu wanaoamini katika asili ndio wanaoutawala ulimwengu. Hata hao wenye teknolojia na waliotulietea hicho unachokiita usomi wanaamini sana katika asili .

Wahindi,
Wachina,
Wajapani,
Wakorea.
Waisraeli
Waarabu,
Na Sasa Wanigeria na wakongo.
Na pia mabilionea Wanaojiita Mitume feki na manabii feki na pia wasanii.
Bila kusahau Wazungu waliojificha nyuma ya pazia la dini za asili ya Rumi au Roman n.k . Wote hao wanajifunza sana mambo ya asili na wapo more advanced katika teknolojia na maarifa.

Unajua ni Kwa ni ni wasomi wa Kiafrika maendeleo yao ni ama kuiba Mali za umma au kuwekeza Kwa kushirikiana na wahindi na sio Vinginevyo. Biashara nyingi zinahitaji maarifa ya asili.

if "mambo ya asili" is something that powerful, kwanini majority ya watz wanaomini na ku practice hizo mambo, kiuchumi wapo dhohofu lihali?. huhitaji degree kulitambua hilo.

kwanini ni jamiii hizo tu ulizotaja ndio zinaonekana kufanikiwa zaidi duniani ktk nyanja zote(uchumi,sayansi,huduma za kijamii nk)?.

naomba majibu yako ndg. mtaalamu.
 
First off, this is a logical non sequitur.

But to answer your question.

Among other things.

Nime patent software for simple, low cost, low energy, container based for NAS served electronic library consolidation system for offline school / document management systems.
Hizo system si IT hata wa bongo wanatengeneza umefanya nin kwenye world of technologies tatizo lako unajikutaga unaakili alafu ni wakawaida tu huna maajabu
 
Nimekwambia kwamba suala lako ni logical non sequitur.

Yani hata mimi ningekuwa sijafanya lolote, hilo halibadilishi ukweli kwamba nilichoeleza ni sahihi au si sahihi.

Kwa sababu, sijaja hapa kwa mashindano ya kuniweka mimi binafsi juu, nimeleta hoja.

Chambua hoja, usichambue mtu. Is that so hard to do?

Mbona mimi najadili hoja bila kukuhoji wewe unefanya nini?

Na mimi siwezi kukueleza mambo yangu yote hapa. Kwanza huna hata uwezo wa kuyaelewa. Nimekueleza habari za patent, wewe unasema hata IT wa bongo wanafanya. Kwanza nani kakwambia nimesema nimefanya kitu ambacho IT wa bongo hawawezi kufanya? Kwani unajuaje kwamba mimi si IT wa bongo?

Mimi nimeleta hoja. Naongelea hoja. Udhaifu wa mijadala yetu.

Naongea hoja.

Wewe unabadili maongezi kutoka kwenye hoja, unaenda kunijadili mimi, kama mtu binafsi, umeshindwa critical thinking, umeshindwa abstract thinking.

You are proving my point kwamba watu wengi hawawezi kufikiri kwa kina. Hawawezi kufikiri bila kufanya vitu viwe personal. Hawawezi systemic thinking.

Naongelea mawazo ya nchi za wenzetu zinaongelea latest chips war and AI, wewe unaishia kunihoji mimi, umeshindwa kujadili hoja bila kui personalize.

Kwa sababu inaonekana hapo ndipo mwisho wa fikra zako.

Kutazama watu, si kutazama hoja.

Ni aina fulani ya umasikini wa kifikra.
 
Well! Kilicho baki mpuuze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Hata nikikuelezea huwezi kuelewa"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba watu kutokukubaliana na hadithi zako za kusadikika ni wajinga ?

Unajuaje huenda wewe ndio mzee wa hallucinations na "I See Dead People"!!!!

Anyway haya madude mara nyingine unayaona sana ukitumia mjani, Au ukitafuta majibu rahisi kwa maswali magumu
SAWA great thinker
 
SAWA great thinker
Sio mimi niliowaitwa wenzangu wajinga wakati maelezo yako hayana uthibitisho 100% kwahio nadhani kuwaita wajenga hatuwatendei haki huenda mimi na wewe ndio wajinga hatuelewi na wenyewe ndio werevu (tunachodhani ndicho sisi kumbe sio)

Mfano mapepo yanayowapata watu kuna watu scientifically wanasema zile ni multiple personality disorder (sasa hapo wajinga ni wao au sisi)?...; Sijui lakini kuliko kushikana uchawi na majirani zetu ni bora tuka-treat hio multiple personality disorder....
 
Wakati tunasubiri LIKUD akae sawa na kuleta elimu, ambao hamjapitia uzi huu kuna kiduchu ya kuokota.

Hizi nyuzi mbili zimepishana siku moja tu, bila shaka kuna mambo watu wapaswa kujuwa nyakati hizi.

Kwamba watu kutokukubaliana na hadithi zako za kusadikika ni wajinga ?

Unajuaje huenda wewe ndio mzee wa hallucinations na "I See Dead People"!!!!

Anyway haya madude mara nyingine unayaona sana ukitumia mjani, Au ukitafuta majibu rahisi kwa maswali magumu
Ona hili theenge nalo,nyie ndio wajuaji wenyewe
 
Nimekwambia kwamba suala lako ni logical non sequitur.

Yani hata mimi ningekuwa sijafanya lolote, hilo halibadilishi ukweli kwamba nilichoeleza ni sahihi au si sahihi.

Kwa sababu, sijaja hapa kwa mashindano ya kuniweka mimi binafsi juu, nimeleta hoja.

Chambua hoja, usichambue mtu. Is that so hard to do?

Mbona mimi najadili hoja bila kukuhoji wewe unefanya nini?

Na mimi siwezi kukueleza mambo yangu yote hapa. Kwanza huna hata uwezo wa kuyaelewa. Nimekueleza habari za patent, wewe unasema hata IT wa bongo wanafanya. Kwanza nani kakwambia nimesema nimefanya kitu ambacho IT wa bongo hawawezi kufanya? Kwani unajuaje kwamba mimi si IT wa bongo?

Mimi nimeleta hoja. Naongelea hoja. Udhaifu wa mijadala yetu.

Naongea hoja.

Wewe unabadili maongezi kutoka kwenye hoja, unaenda kunijadili mimi, kama mtu binafsi, umeshindwa critical thinking, umeshindwa abstract thinking.

You are proving my point kwamba watu wengi hawawezi kufikiri kwa kina. Hawawezi kufikiri bila kufanya vitu viwe personal. Hawawezi systemic thinking.

Naongelea mawazo ya nchi za wenzetu zinaongelea latest chips war and AI, wewe unaishia kunihoji mimi, umeshindwa kujadili hoja bila kui personalize.

Kwa sababu inaonekana hapo ndipo mwisho wa fikra zako.

Kutazama watu, si kutazama hoja.

Ni aina fulani ya umasikini wa kifikra.
We ndo maskin wa kifikra ambaye unataka kila kitu mtu aprove kwako who are you au umefanya Nini

Watu wote wenye akili duniani waliopita ukiwasoma walikua wanaprove watu wrong, Sasa wewe unataka watu wakuprove wrong huoni kama una upeo mdogo sana

Nakuongelea wewe sababu wewe kila kitu unataka evidence as if wewe umefanya makubwa sana hapa Dunia kumbe ni mbarara mmoja hivi

Unavyokomalia watu wakupe evidence wewe una evidence yeyote Ile ambayo ume-formulate kwenye world of technology and science zaid ya kucopy za wanaume wenzako
 
mleta mada wewe waambie watu ukweli sehemu yenye majini kibao ni kuanzia Ferry Mikadi pasua beach yote ya malaika nenda mpaka mji mwema shuka Kibugumo Geza muongozo nenda Mbutu rudi Kimbiji mpaka Pemba mnazi huko ndio kwenye vilinge vyenyewe vya majini au ujinini msihangaike kuumiza kichwa kua ni wapi
Pwani ya Magharibi ya Africa, jirani na mstari wa Ikweta
 
" Hata nikikuelezea huwezi kuelewa"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilitegemea tutaongeza maongezi tuende kuongelea patent, research and development, etc.

Anakuja na maneno ya kuchambana watu binafsi.

He just made my point for me without even knowing.
 
Wewe una nyege tu na mimi, ndiyo maana huwezi kujadili hoja unanijadili mimi.

Na mimi siendekezi hizo nyege zako wala za mwanamme yeyote anayeniparatia, nakupeleka ignore list.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.

You are not worth my shells.
Hii ni forum lazima ujibiwe tu kama wewe unavyongangania upewe evidence
 
Nilitegemea tutaongeza maongezi tuende kuongelea patent, research and development, etc.

Anakuja na maneno ya kuchambana watu binafsi.

He just made my point for me without even knowing.
Umefanya research ipi bwana acha mikwara
 
Well! Kilicho baki mpuuze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya zaidi ya kumpuuza, nimempeleka ignore list kabisa sitaona chochote atakachoandika kwenye mada hii au yoyote ijayo.

Nishaona kwamba hajafikia viwango vya kufanya mazungumzo na mimi.

Anajisikia raha tu kuona kajibizana na mimi bila kujali points gani anajibizana nami.

Like a freakin' troll.
 
Back
Top Bottom