Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yahaya hakujulikana anaishi wapi. Maskani yake ndio Kinondoni.....wewe unamjua Yahaya kuliko aliyemuimba?Yahaya ni mwananchi tu wa kawaida anaishi Kinondoni
Original copy imeandikwa vizuri kwa mpangilio. Wewe umecopy paste umejaza paragraphs bila sababu. Lau ingelikuwa ni wewe umeandika original hii isingekuwa hivi ulivyoandika hapa.Mkuu sean Paul!
Umejuaje kama niliyeandika huko Sio Mimi pia l!
Chief inaonekana ukiwa theatre unaliwazwa na ngoma za kikwetu maana unazijua vilivyo mpaka raha .Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.
Bahati nzuri yule binti alipata mchumba na kuolewa hivyo hivyo na ujauzito wake,
Mwanaume aliyemuoa huyu binti anaitwa Hamidu,
Mtoto alipozaliwa wakampa jina la lddi, katika wimbo wa Mtoto lddi Nature anasema, Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu,
Lakini ukweli Hamidu ni baba mlezi wa lddi,
Baba halisi wa ldi ni Kalubandika, na ndiyo maana Iddi alikuwa na tabia za Kalubandika,
Maisha yalikwenda kasi sana, Iddi wa Juma Nature baada ya kukua, alimuoa kitemi mtoto wa Mama Kumbena wa Banana
Zorro,(Kama mnamkumbuka yule we mama kumbena)
Wakazaa watoto watatu wote wa Kiume,
Wa kwanza ni Side Mnyamwezi wa Mh Temba,
Wa pili ni Lover boy wa Chege
Wa tatu ni Yahaya wa Lady Jyadee
Katika hawa watoto watatu wa Mtoto lddi wa Juma Nature, Ndipo kupitia mtoto wake Lover boy ndo tunapompata selemani..
Sasa hapo kunapatikana kizazi cha Selemani wa Mboso,
Selemani ni mtoto wa Lover boy wa chege
Kwahiyo watu kumfananisha Selemani na Mtoto ldi,
Ni kumkosea adabu mtoto Idi, huyu ni mjukuu wake
anachokifanya sasa yeye alishakifanya miaka hiyo,
Nadhani nimeshamaliza utata
Kuna Yule Athumani (yule athumani akishalewa lewa) ni Mjomba wake seleee...Vipi kuhusu MASUDI wa Marijani Rajabu, MZEE WA BUSARA wa Gangwe Mobb, JERRY wa Solid Ground family
Hawahusiki kwenye kizazi cha huyuu Seleee??
😀😀😀Chief inaonekana ukiwa theatre unaliwazwa na ngoma za kikwetu maana unazijua vilivyo mpaka raha .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Side Yupi mkuu!Mkuu rekebisha kidogo hapo Selemani ni mtoto wa Side
Kuna siku aliulizwa Anajutia kutokusameheana na Jasiri, akajibu hajutii hata kidogo na wala haumii kutosameheana naye, akaulizwa hata kama amekufa haoni shida kusema hivyo , akajibu haoni tatizo kwani bado hajabadilisha maamuziIla komando anaonekana ni jike shupa kweli kweli. Beef na jasiri muongoza njia wa mawingu halikuisha mpaka jasiri akakata moto. Lile na kukoboa nadhani bado linaishi.
Kwenye page zake huwa anawajibu wakosoaji wake kwa ukali sana.
ApiaWengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.
Bahati nzuri yule binti alipata mchumba na kuolewa hivyo hivyo na ujauzito wake,
Mwanaume aliyemuoa huyu binti anaitwa Hamidu,
Mtoto alipozaliwa wakampa jina la lddi, katika wimbo wa Mtoto lddi Nature anasema, Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu,
Lakini ukweli Hamidu ni baba mlezi wa lddi,
Baba halisi wa ldi ni Kalubandika, na ndiyo maana Iddi alikuwa na tabia za Kalubandika,
Maisha yalikwenda kasi sana, Iddi wa Juma Nature baada ya kukua, alimuoa kitemi mtoto wa Mama Kumbena wa Banana
Zorro,(Kama mnamkumbuka yule we mama kumbena)
Wakazaa watoto watatu wote wa Kiume,
Wa kwanza ni Side Mnyamwezi wa Mh Temba,
Wa pili ni Lover boy wa Chege
Wa tatu ni Yahaya wa Lady Jyadee
Katika hawa watoto watatu wa Mtoto lddi wa Juma Nature, Ndipo kupitia mtoto wake Lover boy ndo tunapompata selemani..
Sasa hapo kunapatikana kizazi cha Selemani wa Mboso,
Selemani ni mtoto wa Lover boy wa chege
Kwahiyo watu kumfananisha Selemani na Mtoto ldi,
Ni kumkosea adabu mtoto Idi, huyu ni mjukuu wake
anachokifanya sasa yeye alishakifanya miaka hiyo,
Nadhani nimeshamaliza utata
Mzigua, moderators warudishe jukwaa letu pendwa aka members onlyYahaya ni mwananchi tu wa kawaida anaishi Kinondoni
Nzuri mtafute mshairi basi inaweza kuwa muendelezo. Siku za nyuma cloud walikuwa na segment ya kutengeneza stori kupitia nyimbo tofauti. Sikumbuki kipindi kiliitwaje.Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.
Bahati nzuri yule binti alipata mchumba na kuolewa hivyo hivyo na ujauzito wake,
Mwanaume aliyemuoa huyu binti anaitwa Hamidu,
Mtoto alipozaliwa wakampa jina la lddi, katika wimbo wa Mtoto lddi Nature anasema, Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu,
Lakini ukweli Hamidu ni baba mlezi wa lddi,
Baba halisi wa ldi ni Kalubandika, na ndiyo maana Iddi alikuwa na tabia za Kalubandika,
Maisha yalikwenda kasi sana, Iddi wa Juma Nature baada ya kukua, alimuoa kitemi mtoto wa Mama Kumbena wa Banana
Zorro,(Kama mnamkumbuka yule we mama kumbena)
Wakazaa watoto watatu wote wa Kiume,
Wa kwanza ni Side Mnyamwezi wa Mh Temba,
Wa pili ni Lover boy wa Chege
Wa tatu ni Yahaya wa Lady Jyadee
Katika hawa watoto watatu wa Mtoto lddi wa Juma Nature, Ndipo kupitia mtoto wake Lover boy ndo tunapompata selemani..
Sasa hapo kunapatikana kizazi cha Selemani wa Mboso,
Selemani ni mtoto wa Lover boy wa chege
Kwahiyo watu kumfananisha Selemani na Mtoto ldi,
Ni kumkosea adabu mtoto Idi, huyu ni mjukuu wake
anachokifanya sasa yeye alishakifanya miaka hiyo,
Nadhani nimeshamaliza utata
Zuwena wa Mond si amechukua Jina la Bibi yake kizaa mama Yake ambaye aliitwa naye Zuwena Wa Mr Paul mama yake na zuwena wa MondVipi hawa Nzella wa Banana na Zuwena wa Mondi
HUko anakosema imeandikwa amejuaje kama sio mimi nimeiandika?
If that Will make you feel happy and reduce your inferiority Then its Ok lAwaap wewe ni copycat kubali yaishe.