Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

Nilijua habari hii ya mayele utaitumia kuweka taarifa za uongo na kutafuta umaaarufu
 
Safari ndefu ya nin tena..
Hivi wewe unaamini ujinga kama huo hivi haujiulizi kuwa kabla hajaja bongo mayele alikuwa na hatari ipi? Kwasababu kama kufeli nje wamefeli wengi mno tukianza na chama na luis hawa waliondoka wa moto mno ila huko wakafeli je wamewahi kusingizia uchawi?

Mayele akubali ukiishi maisha ya mtandaoni sana matokeo huwa yanakuwa haya...mechi ya afcon kati ya congo na Tanzania ilipoisha mayele akapost Instagram kuwa mbali ya kuchezesha mabeki wanne ila haikusaidia kitu wabongo bila kujali timu zao walimpopoa mno,tukija mechi ya pyramid na mamelody jamaa alikosa kibali cha kuingia south jamaa akapost kuwa eti wanamwogopa ndio maana wakamnyima visa ila kocha wa mamelod alimwambia punguza maisha ya mtandaoni
 
Hivi wewe unaamini ujinga kama huo hivi haujiulizi kuwa kabla hajaja bongo mayele alikuwa na hatari ipi? Kwasababu kama kufeli nje wamefeli wengi mno tukianza na chama na luis hawa waliondoka wa moto mno ila huko wakafeli je wamewahi kusingizia uchawi? Mayele akubali ukiishi maisha ya mtandaoni sana matokeo huwa yanakuwa haya...mechi ya afcon kati ya congo na Tanzania ilipoisha mayele akapost Instagram kuwa mbali ya kuchezesha mabeki wanne ila haikusaidia kitu wabongo bila kujali timu zao walimpopoa mno,tukija mechi ya pyramid na mamelody jamaa alikosa kibali cha kuingia south jamaa akapost kuwa eti wanamwogopa ndio maana wakamnyima visa ila kocha wa mamelod alimwambia punguza maisha ya mtandaoni
Mzee hii inshu wala mim sipo serious nilikua namkubali sana jamaa lakini nimegundua hajui nin aseme na Kwa wakati gani..
Kuna kitu hakipo sawa kwa Mayele so na sis tunaenda nae hivyo hivyo.
 
Uchawi hauvuki bahari. Ni kweli lakini kwenda Cairo kuna bahari gani inavukwa? Yaani Popoma ni shida.
 
Kama uchawi hauvuki bahari abadan, huyu mganga wa Zenji analogea huko visiwani au kaletwa huku Dar kwa kazi hiyo
 
Kuna kauli aliisema kibu,kuwa lile shuti diarra angedaka angejikuta ICU kumbe alimaanisha eeh???ila ule mshuti kiukweli sio wa kawaida aseee ni dhahiri ni nguvu za majini zilikuwa behind that rocket.
 
Daah naona huruma mno kama tutaendelea kujadili huu upuuzi i, hivi kweli mtu amenunua smartphone na pesa zake kaweka bando na pesa zake kaamua kupost kwa mikono yake huu upuuzi??? Mimi nashindwa hata kuelewa yani
 
Kama Yanga ina waganga wenye uwezo huo, ni afadhali wasihangaike kusajir nje ya nchi kwa kutumia hela nyingi hivyo >waende mitaani wakakusanye vijana wadogo wa kulipwa milioni tanotano, halafu wawavike matunguli hayo wapangdishe 5G b ila gharama.
 
Back
Top Bottom