Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

Nimelia sana kwanini kijana apitie mazito ivi
 
Daah naona huruma mno kama tutaendelea kujadili huu upuuzi i, hivi kweli mtu amenunua smartphone na pesa zake kaweka bando na pesa zake kaamua kupost kwa mikono yake huu upuuzi??? Mimi nashindwa hata kuelewa yani
Hata mimi nashangaa! Yaani mambo ya kijinga kabisa!
 
Me ni shabiki yako Genta ila humu umetuokota sana mwanangu, haha
 
Popoma Yanga hii inakutesa sana, mwaka huu tunapanga namna ya kuboresha paredi
 
Hahaha. Kumbe chama na konde hali ilikuwa hivihivi? Jamaa umesema kweli tupu na naunga mkono hoja!
 
Ingekuwa kazi nyepesi hivyo, basi Konkoni hasingeachwa Yanga bali angepikwa na majini. Au Musonda angekiwasha vibaya mno kwa msaada wa majini. Kama una kiwango uta perform tu na kama garasa ni garasa tu hakuna cha majini wala nini
Tatizo nyota, unadhani unabeba mikoba kienyeji tu.

Yanga majini yenu kiboko.
 
ASANTE MUNGU KWA KUNIEPUSHA NA UTOTO.

ASANTE MUNGILU NIMEOKOKA NA MPIRA WA BONGO (utoto, ndumba magumashi.

NILIKUWA NAPOTEA.
 
Muongo we jamaa looh si angekua top scorer wa misimu yote hapa Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
 
ASANTE MUNGU KWA KUNIEPUSHA NA UTOTO.

ASANTE MUNGILU NIMEOKOKA NA MPIRA WA BONGO (utoto, ndumba magumashi.

NILIKUWA NAPOTEA.
Ukiona tu kila Siku Mpumbavu Mmoja anahubiri Kukuchukia hapa JamiiForums lakini bado Kutwa anakusoma katika Mijadala yako mbalimbali na hata Kuchangia mingine jua kuwa ANAKUKUBALI mno na ameshagundua kuwa una AKILI KUBWA za KUMZIDI na UMEBARIKIWA vingi na Mwenyezi Mungu.

Yeremia 1:19
 
Muongo we jamaa looh si angekua top scorer wa misimu yote hapa Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
Muongo ambaye Kutwa tu Unamsoma hapa JamiiForums na hupendi Kukosa Mada zake.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Ingekuwa kazi nyepesi hivyo, basi Konkoni hasingeachwa Yanga bali angepikwa na majini. Au Musonda angekiwasha vibaya mno kwa msaada wa majini. Kama una kiwango uta perform tu na kama garasa ni garasa tu hakuna cha majini wala nini
Vipi kama hawakuwa tayari kuyabeba hayo majini?????
 
Daah naona huruma mno kama tutaendelea kujadili huu upuuzi i, hivi kweli mtu amenunua smartphone na pesa zake kaweka bando na pesa zake kaamua kupost kwa mikono yake huu upuuzi??? Mimi nashindwa hata kuelewa yani
Sasa kama vyote hivyo ni mali yako,, huoni kama mtu anao uhuru wa kupost chochote anachojisikia?????
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…