Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

Peleka Facebook.
 
Daah naona huruma mno kama tutaendelea kujadili huu upuuzi i, hivi kweli mtu amenunua smartphone na pesa zake kaweka bando na pesa zake kaamua kupost kwa mikono yake huu upuuzi??? Mimi nashindwa hata kuelewa yani
Na wewe popoma ukaamua kureply
 
K
 
Waafrika tukiwemo Watanzania tutachelewa sana kupata maendeleo kama wengi wetu tunaamini kuanguka ama kupata maendeleo makubwa ulozi unaweza kuwa na mchango katika maisha yetu, nimestushwa sana na baadhi ya comment za wadau wa Jamii Forums wakiamini uchawi dah!Aisee!.
 
Ingekuwa kazi nyepesi hivyo, basi Konkoni hasingeachwa Yanga bali angepikwa na majini. Au Musonda angekiwasha vibaya mno kwa msaada wa majini. Kama una kiwango uta perform tu na kama garasa ni garasa tu hakuna cha majini wala nini
Alikubali kubeba mikoba?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nimelazimika kurudi tena kuisoma hii thread.

Muda ni mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…