LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwa mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.
Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..
Ndio maana ukisoma Biblia kuhusu habari za Mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"
Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .
( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)
Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..
( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?
Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.
( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)
UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.
HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )
ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe
(.he was still a teenager)