Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Thread zako nyingi huwa za kufikirika tu, hazina ushahidi usioacha shaka.

Inaonekana kwako mtu akifikisha miaka 20 hata kama akiwa bikira hastahili kuitwa hivyo, kwako lazima awe under 15!.

Na ikitokea under 15 is not virgin, kwako utaamini she is!
 
Thread zako nyingi huwa za kufikirika tu, hazina ushahidi usioacha shaka.

Inaonekana kwako mtu akifikisha miaka 20 hata kama akiwa bikira hastahili kuitwa hivyo, kwako lazima awe under 15!.
Yes ni za kufikirika KWA sababu kufikiri sio kazi rahisi mkuu
 
Aliemfundisha kuku hapa ni sehemu ya kupiga mashine ni nani 😁😁😁
 
Mimi sishangai kwasababu kibiolojia mwanamke mwenye umri kuanzia miaka kumi na mbili anaweza kushika ujauzito.

Na kwenye jamii ambayo mwanamke alikuwa hana haja ya kwenda shule(.?)
inawezekana ilikuwa kawaida kuolewa katika umri huo.

Sema ungeleta ushahidi sasa ili kueleweka zaidi.
Tofauti na hapo umetunga maneno.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe onyesha mstari wa Biblia unao sema " Nenda kasali Mwenge KWA kakobe , au kawe KWA Mwamposa au St.Joseph katoliki".

Najua wewe ni mkristu na huwa unaenda kusali kanisani , kanisa unalo kwenda kusali let's say lipo Mbezi na linaitwa labda " Mlima wa Mungu" SASA utuonyeshe kifungu cha biblia kinacho kuelekeza uende kusali kwenye hilo kanisa
Mbona unatoka njee ya mada mambo ya kakobe yametoka wapi kwani nimekuambia mim nasali kwa kakobe

Nionyeshe mstari kwenye biblia unaosema bikira Mariam aliolewa akiwa na miaka 13 usikwepe swali kijanja
 
KWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.

Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..

Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"

Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .

( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)

Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..

( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?

Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.

( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)

UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.


HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )


ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe

(.he was still a teenager)
Ingependeza kama ungeleta historia ya Bikira Maria baada ya kumzaa Yesu je baadaye alizaa na Yoseph? Kama Watoto wangapi na wanaitwa kina nani? Kwahiyo Yesu ana ndugu zake wa kuzaliwa tumbo moja?

Nadhani hizi ndio hoja za msingi watu wa kitabu wanapaswa kufunuliwa.
 
Back
Top Bottom