Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Onyesha mstari wa biblia unaoonyesha alikua na miaka 13 tofauti na hapo zitakua stori za vijiweniUkweli ni upi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyesha mstari wa biblia unaoonyesha alikua na miaka 13 tofauti na hapo zitakua stori za vijiweniUkweli ni upi
Mkuu unayoeleza yana uhalisia kwa dunia ya leo, lakini je unayatoa katika vyanzo gani bhana?
Tunaopenda historia, tunapenda kutandaziwa na evidence ya maandishi ama picha.
Na hili la kuita binti yako: "bikira fulani" hauoni ukakasi?
Mkuu unayoeleza yana uhalisia kwa dunia ya leo, lakini je unayatoa katika vyanzo gani bhana?
Tunaopenda historia, tunapenda kutandaziwa na evidence ya maandishi ama picha.
Na hili la kuita binti yako: "bikira fulani" hauoni ukakasi?
Ukiambiwa nenda katuletee bikira utapeleka msichana wa chuo kikuu au msichana wa darasa la tatu?Mkuu unayoeleza yana uhalisia kwa dunia ya leo, lakini je unayatoa katika vyanzo gani bhana?
Tunaopenda historia, tunapenda kutandaziwa na evidence ya maandishi ama picha.
Na hili la kuita binti yako: "bikira fulani" hauoni ukakasi?
Kwanini watu wanamsakama Mtume kwa kuoa yule bintiKWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.
Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..
Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"
Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .
( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)
Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..
( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?
Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.
( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)
UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.
HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )
ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe
(.he was still a teenager)
Sawa, lakini hiko cheo (title)kwanini mpaka leo ni chake anaendelea tu kukivaa hata baada ya kutuzalia Masihi?Ukiambiwa nenda katuletee bikira utapeleka msichana wa chuo kikuu au msichana wa darasa la tatu?
Generally binti wa miaka 12 kushuka chini huwa anakuwa presumed kuwa bikira unless the otherwise is proved.
So hata bikira maria aliitwa bikira KWA sababu alikuwa katika umri huo (12/13 yrs)
Kulikuwa na bikira wengi na kila mmoja alijulika kwa jina lake.
Mfano kama binti aliitwa Mwamvua basi aliitwa Bikira AITWAE Mwamvua au Bikira Mwamvua.
Kama aliitwa Mwanaharusi BASI obviously aliitwa Bikira AITWAE Mwanaharusi au Bikira Mwanaharusi.
So KWA kuwa aliitwa Mariamu BASI alitambulika kama Bikira AITWAE MARIAMU au Bikira Mariamu au Bikira Maria
Nilikuwa namjibu Mzee Likud kaleta stori za bikira.Mambo gani Mkuu?
Nilikuwa namjibu Mzee Likud kaleta stori za bikira.
😆😆😆😆!Ni kama Mwalimu Nyerere. Aliendelea kuitwa Mwalimu hata baada ya kuwa Amiri JESHI Mkuu
Na wewe onyesha mstari wa Biblia unao sema " Nenda kasali Mwenge KWA kakobe , au kawe KWA Mwamposa au St.Joseph katoliki".Onyesha mstari wa biblia unaoonyesha alikua na miaka 13 tofauti na hapo zitakua stori za vijiweni
😂😂😂😂Huyu jamaa akishavimbiwaga yaani yeye ni kun..ya kila mahali hana tofauti na bata maji.
Usipovuta yale madude akili yako inatulia,Wewe ndio unayewaambia wanyama sehem ya kuingiza mashine ni wapi?
Kuna kitu kinaitwa Silika/nature hiyo mtu hajifunzi ipogo