Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

KWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.

Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..

Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"

Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .

( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)

Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..

( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?

Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.

( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)

UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.

HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )

ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe

(.he was still a teenager)
Mkuu bila kumtaja Kiranga hujakamilisha uzi au vipi?

Please keep my family out of your posts.
 
Idiotism!!!
 
Mkuu bila kumtaja Kiranga hujakamilisha uzi au vipi?

Please keep my family out of your posts.
🤣🤣🤣 Kumbe una mtoto anaitwa Hamisa.

Take it easy man, we are not talking about ur death or ur life here man.

Wewe hujijui kwamba ni celebrity hapa mkuu.

SASA nisipo mtaja kiranga nitamtaja nani hapa jf.?

Nitake radhi mkuu
 
KWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.

Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..

Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"

Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .

( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)

Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..

( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?

Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.

( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)

UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.

HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )

ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe

(.he was still a teenager)
Huwa najiuliza, hv adamu aliumbwa akiwa na ukubwa gani ulinganisha na dunia ya leo? Mtoto mchanga, kijana, mtu mzima au mzee?
 
Ingependeza kama ungeleta historia ya Bikira Maria baada ya kumzaa Yesu je baadaye alizaa na Yoseph? Kama Watoto wangapi na wanaitwa kina nani? Kwahiyo Yesu ana ndugu zake wa kuzaliwa tumbo moja?

Nadhani hizi ndio hoja za msingi watu wa kitabu wanapaswa kufunuliwa.
Yes anao mkuu ndio hao akina James na Andrea
 
KWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.

Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..

Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"

Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .

( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)

Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..

( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?

Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.

( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)

UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.

HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )

ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe

(.he was still a teenager)
Vipi kuhusu Mke wa kwanza wa Adam.???
Unafahamu historia ya Lilith Mwanamke aliyeumbwa mwanzo na Adam,na baadae kuasi na kuwe sehemu ya Ibilisi...?
 
Ndio nafahamu mkuu
Naomba uelezee unavyofahamu,ili tujifunze,hata hivyo kuna yafuatayo:-

Kwa maana hiyo,Hawa ni sehemu ya Adam.....(baada ya Adam kuchoshwa na tabia za Mke waliyeumbwa naye wote).
Na si kweli kuwa Mwanzo aliumbwa Adam pekee,kwa kuwa uumbaji ulikuwa ni kwa pair/jozi ya wawili wawili.
Ni kwanini maandiko hayausishi uwepo wa Mke wa kwanza wa Adam??...kama si kweli kwanini Adam aumbwe pekee alafu eti aonekane mpweke ndipo apatiwe mwenzake..?
Naomba unielimishe kuhusu dhana ya "Penye mafanikio ya Mwanaume nyuma kuna Mwanamke""
(Kwamba walikuwa wote pamoja Hadi mafanikio au alimwacha Mwanamke msumbufu ndipo alipofanikiwa..?)
 
KWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.

Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..

Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"

Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .

( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)

Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..

( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?

Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.

( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)

UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.

HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )

ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe

(.he was still a teenager)
Hoja yako ni dhaifu mno,kwasababu hujaweka wazi vyanzo vya taarifa yako.Kwa hiyo tunapuuza km ifuatavyo.
 
Back
Top Bottom