LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #81
Fall Army Worm Afrocentric view buccaneer denooJ😂😂😂Dini bana inafanya watu hata kushindwa kutumia akili ya kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fall Army Worm Afrocentric view buccaneer denooJ😂😂😂Dini bana inafanya watu hata kushindwa kutumia akili ya kawaida
ShetaniAliemwambia adam kwamba sehemu ya kuingiza mashine ni hapa ni nani?
Hawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poliKWA mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne.
Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne..
Ndio maana ukisoma biblia kuhusu habari za mariamu kabla hajapata ujauzito wa Yesu she was reffered as " BIKIRA AITWAE MARIAMU"
Hilo neno bikira lilikuwa synonymous na msichana wa miaka 12/13 .
( Otherwise walijuaje kama ni bikira?)
Ni SAWA na wewe bwana Kiranga yule binti YAKO mwenye umri wa miaka.kumi na moja ukimuaddress kama bikira hakuna atakae kuhoji..
( Likud : Kaka mkubwa kiranga kwenye gari lako upo na nani?
Kiranga : nipo na bikira AITWAE Hamisa.
( Hamisa ni binti mwenye miaka 11)
UMRI WA ADAMU NA HAWA WAKATI WANAKULA TUNDA LA MTI WA KATIKATI.
HAWA alikuwa na miaka 13 tangu azaliwe ( HAWA alikuwa mtoto wa Adam. Adam alikuwa baba na mama wa HAWA )
ADAM = alikuwa na miaka 15 HADI 16 tangu atengenezwe/aumbwe
(.he was still a teenager)
Ni muongo sanaHawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poli
Wewe ni kilaza. Ni moja Kati ya watu ambao wananifanya nijitoe Jf. And soon nitajitoa. KWA sababu I am not comfortable with what ur thoughts are. Siwezi kujifunza chochote kwako.Hawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poli
Wewe ni kilaza. Ni moja Kati ya watu ambao wananifanya nijitoe Jf. And soon nitajitoa. KWA sababu I am not comfortable with what ur thoughts are. Siwezi kujifunza chochote kwako.Hawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poli
Wewe ni kilaza. Ni moja Kati ya watu ambao wananifanya nijitoe Jf. And soon nitajitoa. KWA sababu I am not comfortable with what ur thoughts are. Siwezi kujifunza chochote kwako.Hawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poli
Jua kuzunguka Dunia.Hakuna ukweli wowote. Mwaka ulihesabiwa kwa kutazama idadi ya Siku ambazo dunia inatumia kuzunguka jua
Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindakiWewe ni kilaza. Ni moja Kati ya watu ambao wananifanya nijitoe Jf. And soon nitajitoa. KWA sababu I am not comfortable with what ur thoughts are. Siwezi kujifunza chochote kwako.
Nimesema HAWA, Adam alikuwa ndio baba ake na Adam alikuwa ndio mama ake.
Hapo nime ongopa kitu GANI?
I think I have to left this forum. Imepoteza kabisa maana ya kuitwa the home of Great thinkers.
Cc buccaneer
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi source hisia zake ,hawezi ushahidi wa uhakika lakini nashangaa anapata mpaka Kondoo wa kumsapoti tena wakimhimiza aendelee kutoa madini.Mkuu Likud una ushahidi au tunajadili hisia zako?
Mr. Snake aka kijicho kimoja kisichoona.Aliemwambia adam kwamba sehemu ya kuingiza mashine ni hapa ni nani?
Hisia zangu ni zaidi ya ushahidi unao utaka mkuu. Hisia zangu zimetengenezwa na Mungu na huo ushahidi unao utaka wewe umetengenezwa na binadamu kama wewe.Huyu jamaa nyuzi zake nyingi source hisia zake ,hawezi ushahidi wa uhakika lakini nashangaa anapata mpaka Kondoo wa kumsapoti tena wakimhimiza aendelee kutoa madini.
Ungekuwa unajielewa ningekupa reference ya vitabu usome vikufungue akili YAKO lakini KWA sababu wewe ni mjinga mjinga mmoja hivi wacha nikupe hii random reference from this brother.Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindaki
Hakuna kuhoji maandiko ukihoji unaambiwa unapinga neno na ukisapport unaambiwa lete ushaidi wa hicho usemacho.
Kazi kweli kweli. Yani HAWA jamaa dawa yao ni kuwaacha na ujinga wao ili waendelee kupigwa huko kanisaniHakuna kuhoji maandiko ukihoji unaambiwa unapinga neno na ukisapport unaambiwa lete ushaidi wa hicho usemacho.
Ni wachache wenye AKILI zisizo za kawaida ndio wenye uwezo na ufunuo /tasfiri ya neno,na pale inapothibitika ni kweli uitwa Watakatifu/wenye ROHO mtakatifu.
Nataka mstari kwenye biblia na sio kutoka sehemu nyingineUngekuwa unajielewa ningekupa reference ya vitabu usome vikufungue akili YAKO lakini KWA sababu wewe ni mjinga mjinga mmoja hivi wacha nikupe hii random reference from this brother.
Umri wa kuvunja ungo kwa jamii hizo za mashariki ya mbali zama za manabii ni miaka 9Mimi sishangai kwasababu ngokibiolojia mwanamke mwenye umri kuanzia miaka kumi na mbili anaweza kushika ujauzito.
Na kwenye jamii ambayo mwanamke alikuwa hana haja ya kwenda shule(.?)
inawezekana ilikuwa kawaida kuolewa katika umri huo.
Sema ungeleta ushahidi sasa ili kueleweka zaidi.
Tofauti na hapo umetunga maneno.
Sent using Jamii Forums mobile app