Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Neno WOULD HAVE BEEN... ni probability na siyo FACT
Truth ni kwamba Maria alikuwa bikira na enzi hizo mabikira wlikuwa wengi pia ilikuwa fahari kwao kujitunza.

Bado narejea kusema kwamba hizi hoax za wanaotafsiri Bible kwa malengo yao nje ya mafundisho ya KWELI huwa wanapotosha na kumsaidia shetty kuwaburuza wengi
Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.
 
Kama ilirudi, Yusuph alikua anapiga punyeto ama nini?
Papa Francis alishasema Mapadrii/Makateksta/Masista/Watawa hua wanaangalia porno,

Chanzo: BBC

Sasa nini kinakushangaza kuhusu Punyeto?

Screenshot_20221101-183352.png
 
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi source hisia zake ,hawezi ushahidi wa uhakika lakini nashangaa anapata mpaka Kondoo wa kumsapoti tena wakimhimiza aendelee kutoa madini.
Ndio tatizo la kuwa na wajinga wengi, usishangae wakimtafuta mjinga mwenzao akawa kiongozi wao kama LIKUD
 
Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindaki
Maswali magumu kama haya huwa hayapendi kabisa, anapenda longolongo tu.
 
Ungekuwa unajielewa ningekupa reference ya vitabu usome vikufungue akili YAKO lakini KWA sababu wewe ni mjinga mjinga mmoja hivi wacha nikupe hii random reference from this brother.
Una tatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za akili, umeambiwa leta maneno kutoka kwenye biblia, hufanyi hivyo, badala yake wewe unaleta habari za kuokoteza toka kwenye "vitabu vyako"
 
Hakuna kuhoji maandiko ukihoji unaambiwa unapinga neno na ukisapport unaambiwa lete ushaidi wa hicho usemacho.
Ni wachache wenye AKILI zisizo za kawaida ndio wenye uwezo na ufunuo /tasfiri ya neno,na pale inapothibitika ni kweli uitwa Watakatifu/wenye ROHO mtakatifu.
Tatizo ni kuchanganya AKILI na ROHO,wengi wa waamini hawajui kutofautisha vitu hivyo ndio maana Imani zinawachanganya sana Watu.
Dhana ya maisha baada ya kifo nayo ni kizungumkuti.
Maandiko yanatuambia zijaribuni hizo roho, ajabu wewe unatuletea longolongo kama za huyu mjinga mwenzio LIKUD

1 Yohana 4:1

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wa uongo wengi [kina LIKUD] wametokea duniani.

Kama jambo hamlijui ombeni ushauri, msipotezee watu muda huku na kelele zenu.
 
Maandiko yanatuambia zijaribuni hizo roho, ajabu wewe unatuletea longolongo kama za huyu mjinga mwenzio LIKUD

1 Yohana 4:1

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wa uongo wengi [kina LIKUD] wametokea duniani.

Kama jambo hamlijui ombeni ushauri, msipotezee watu muda huku na kelele zenu.
Siku hizi wajinga zaidi ujiona welevu.
 
Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.
Kipimo unachonipimia mimi ndicho kunakupimia wewe pia.

Utoto ni kutengeneza defence mechanism badala ya kujibu hoja
 
Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.
Kipimo unachonipimia mimi ndicho kunakupimia wewe pia.

Utoto ni kutengeneza defence mechanism badala ya kujibu hoja
 
Hakuna ukweli wowote. Mwaka ulihesabiwa kwa kutazama idadi ya Siku ambazo dunia inatumia kuzunguka jua
Walijuaje dunia inazunguka jua. Wakati inasemwa waliamini jua linazunguka dunia, kwa kuwa lilihama toka upande mmoja mpaka mwingine asubuhi mpaka jioni!?
 
Ukiambiwa nenda katuletee bikira utapeleka msichana wa chuo kikuu au msichana wa darasa la tatu?

Generally binti wa miaka 12 kushuka chini huwa anakuwa presumed kuwa bikira unless the otherwise is proved.

So hata bikira maria aliitwa bikira KWA sababu alikuwa katika umri huo (12/13 yrs)


Kulikuwa na bikira wengi na kila mmoja alijulika kwa jina lake.

Mfano kama binti aliitwa Mwamvua basi aliitwa Bikira AITWAE Mwamvua au Bikira Mwamvua.

Kama aliitwa Mwanaharusi BASI obviously aliitwa Bikira AITWAE Mwanaharusi au Bikira Mwanaharusi.

So KWA kuwa aliitwa Mariamu BASI alitambulika kama Bikira AITWAE MARIAMU au Bikira Mariamu au Bikira Maria
Hivi ni sahihi nije kwako nimuite mwanao kwa kuanza na jina bikira kisa tu ana umri chini ya miaka 12
 
Ngoja kwanza, kuna maswali yakujiuliza zaidi hapa

Mwanaume alikuwa anaozeshwa binti akiwa na umri gani? Na alikuwa anaozeshwa binti aliyemzidi miaka mingapi?. Ili tupate umri wa Joseph aliyeozeshewa huyu binti bikra Maria, akiwa tayari na ujauzito.

Wakati unajibu hayo uwakumbuke watu wafuatao, Yakobo, Isaka, Abrahamu na Yesu mwenyewe ambaye hadi anafikisha mika 32 haukuwepo mchakato wa kumuozesha.

Ikumbukwe Yesu aliishi maisha ya binadamu na kama alibatizwa basi hata kuoa pengine angeweza kuoa kama asingepaa mbinguni na kuamua kubaki duniani.

Kwa hiyo hasira isiwepo ndugu zangu wakristo kwenye hili swala.
 
Back
Top Bottom