LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #141
Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.Neno WOULD HAVE BEEN... ni probability na siyo FACT
Truth ni kwamba Maria alikuwa bikira na enzi hizo mabikira wlikuwa wengi pia ilikuwa fahari kwao kujitunza.
Bado narejea kusema kwamba hizi hoax za wanaotafsiri Bible kwa malengo yao nje ya mafundisho ya KWELI huwa wanapotosha na kumsaidia shetty kuwaburuza wengi