hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
MANARA anadai eti bilioni 223 za mkataba wa Azam na TFF zinaweza kupanga elfu kumi kumi zikafika brazil na kurudi
umbali wa kutoka dar es salaam hadi brazil ni kama kilometa 9000 na kurudi ni karibu kilometa 18000
Noti moja ya shilinigi elfu kumi ina urefu wa sentimita 14
unahitaji noti za elfu kumi kumi 128,571,428 ambayo ni sawa na shilingi 1,285,714,285,714 (trilioni moja na ushei)