Huu hapa uongo wa Manara kuhusu pesa za Bakhresa

Hivi wewe unafikiri Manara ana akili timamu, yule hata shule hajasoma....kakariri tu juhuzuu na Qur'an kichwani. Hata 1 + 1 hajuwi jibu lake.
 
Manara aombe Mungu hizi drama zake zisiwe na matatizo na kufanya Simba iyumbe. Hapo ndio ataiona Tanzania chungu
Ifanye vizuri au ifanye vibaya manara ni mjinga hana jipya,Manara ni tapeli tu..Simba ni taasisi uyo zungu ni sisimizi tu.
 
Yani kabisa tunapoteza muda wetu kujibizana na kauli za Manara?

Yani umechukua kabisa rula ukaipima noti ya elfu kumi...., ukatafuta kabisa na umbali tokea Bongo mpaka Brazil??
Huyu ana tatizo kuliko hata Manara
 
Sawa tumekuelewa chawa wa Mudi ... Ehneeee za bukubuku zinafika wapi .... Lete makalukulesheni ....
 
Kwenye masuala ya mpira jokes hua nyingi mno...asa wew utaonekana ndio hamna kitu maana kauli izo hua ni jokes ..siku manara akisema ile kauli ya kuny** hapa mpaka morogoro nawe utapiga hesabu
Atapiga mzingo wa kimba , kipenyo na umbali mpaka morogoro yatakuwa ni makimba mangapi ...🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani kabisa tunapoteza muda wetu kujibizana na kauli za Manara?

Yani umechukua kabisa rula ukaipima noti ya elfu kumi...., ukatafuta kabisa na umbali tokea Bongo mpaka Brazil??
Changamoto za ajira ndugu yangu

kijana Hana cha kufanya

acha tu atumie rula
 
Yani kabisa tunapoteza muda wetu kujibizana na kauli za Manara?

Yani umechukua kabisa rula ukaipima noti ya elfu kumi...., ukatafuta kabisa na umbali tokea Bongo mpaka Brazil??
Mzee hawa vijana hawathamini kabisa mida yao..
 
Boss Mo hataki kukosolewa, ukimkosoa ataachana na wewe kama alivyowafanyia hakina Dr. H. Manara, Chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…