Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Mkuu kama ni mfatiliaji wa kinachoendelea kenya ni mikakati mingi sana Wana ipanga haswa iko based on Tehama na just incase kenya wakafanikiwa Kwa hayo wanayoyapanga Basi Later on Kenya itakuwa stable sana, Kumbuka tz ni vile hatuna Adui wa moja kwa moja ila usiniambie kwamba Jeshi letu la Polisi liko aware kiasi iko, Sio kwamba nalipuuza ila tu in real sense hawa jamaa wanapiga hatuaCV haina maana kama wanashindwa kupambana na ugaidi nchini mwao.
Unamsemea Yule wa Mara?Kuna wa kwetu mmoja ktk idara ya police alisema CCM idumu ili baadae awe aijipii.
Hapa Sirro hathubutu kutia mguu,huku kwetu hawaangalii elimu na exposure wanaangalia nani atamtii bwana mkubwaNAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet
MARITAL STATUS: Married
AGE: 52
HOME DISTRICT: Keiyo
WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)
ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University
Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom
Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University
International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta
Hapa Sirro hathubutu kutia mguu,huku kwetu hawaangalii elimu na exposure wanaangalia nani atamtii bwana mkubwa
ISIS
MSAGA SUMU
Pascal Mayalla
Umenichekesha sana aisee. Na hauko mbali na ukweli.unategemea weledi gani hapo?Huku kwetu cha kwanza kadi ya ccm mengine baadae.
Mkuu kama ni mfatiliaji wa kinachoendelea kenya ni mikakati mingi sana Wana ipanga haswa iko based on Tehama na just incase kenya wakafanikiwa Kwa hayo wanayoyapanga Basi Later on Kenya itakuwa stable sana, Kumbuka tz ni vile hatuna Adui wa moja kwa moja ila usiniambie kwamba Jeshi letu la Polisi liko aware kiasi iko, Sio kwamba nalipuuza ila tu in real sense hawa jamaa wanapiga hatua
1981 to 1984Unaijua CV ya Sirro?
Pamoja na hiyo CV wapi Kuna ugaidi na wapi haupo?
Tofauti ya mkenya na mtanganyika ni mkenya atasifia kila kitu cha kwao aidha kizuri au kibaya wakati mtanganyika ataponda kila kitu cha kwao na kusifia kila kitu cha nje hasa Kama kinatoka Kenya mnaiona Kenya kama Ulaya vile.
Hemu kamsome Boinett in details halafu urudi. Kama Elimu sio inshu basi mkuu atuachie professors wafundishe vyuoni. Kuna sehemu hazitakiwi bra bra au siasa bali being professionalTanzania sio kwamba hawana adui kwa bahati, wanaishi kimkakati. Mpaka hapo sijaona CV Bali academic history . ujuzi sio vyeti ni uwezo wa kutenda.