Huu hapa Wasifu wa IGP wa Kenya Joseph Boinett

Sema kaifanyia nini Kenya, sisi mambo yetu ya ulinzi hayatangazwi, ukiambiwa CV ya Siro, utakaa chini
Hemu kamsome Boinett in details halafu urudi. Kama Elimu sio inshu basi mkuu atuachie professors wafundishe vyuoni. Kuna sehemu hazitakiwi bra bra au siasa bali being professional
 
Mkuu kama ni mfatiliaji wa kinachoendelea kenya ni mikakati mingi sana Wana ipanga haswa iko based on Tehama na just incase kenya wakafanikiwa Kwa hayo wanayoyapanga Basi Later on Kenya itakuwa stable sana, Kumbuka tz ni vile hatuna Adui wa moja kwa moja ila usiniambie kwamba Jeshi letu la Polisi liko aware kiasi iko, Sio kwamba nalipuuza ila tu in real sense hawa jamaa wanapiga hatua

11.09.2001 hawa walikutwa na hili tukio.Tena Superpower..baada ya hapo wakapata akili ya kuzidi kuzidisha ulinzi na kupambana na wanachokiamini wao kulinda ulinzi wao.Sembuse Kenya wenzetu wanakutwa na matukio ya namna hiyo na wanajifunza nini cha kufanya.kushambuliwa na magaidi kunazidi kuwapa akili ya kujua wapi wanakosea na wapi wajirekebishe.Kijana anabeza kwa kuwa anaona huku hatuna tukio..kipimo cha ubora wa kukabili hayo mambo kilionekana tu kwenye kile kivuko kule Mwanza nguvu iliyotumika kunyanyua kivuko na uokoaji kila mtu alijionea.Wasomi wakitumika vyema....
1548770704985.png
 
Kenya wako siriazi na mambo ya nchi yao. TZ kila kitu ni siasa. Hawawezi kufika popte kwa mikakati ya hovyo kiasi hicho. Watu wanaochagua watendaji kwa kuangalia sifa kuu kama ni mwnachama mtiifu?!
Wewe Sena ni seriousness gani ya Kenya unayoizungumzia kama rushwa, crime, police killings na slums vinazidi kushamiri kila siku?. Hivi lengo la elimu ni lipi kama sio kumsaidia binadamu aweze kutatua changamoto za maisha?.

Kikubwa kwa wakenya ni kutaka kujionyesha lakini hakuna positive yoyote inayoonekana, kwa mfano police ya Kenya ndiyo inayoongoza Africa kwa police brutality na rushwa, sasa hizo CV zinafaida gani?, Leo hii Kenya ukiachana na terrorism, ndiyo inayoshika nafasi za juu ktk crime rate Afrika.

By the way IGP Sirro ana Masters ya Sheria, lakini hilo sio muhimu, alipewa hiyo kazi baada ya kuthibitisha umahiri wake alipokua kamanda ya kanda maalumu, na wote tunaona jinsi jeshi la police linavyowajibika chini ya uongozi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet

MARITAL STATUS: Married
AGE: 52

HOME DISTRICT: Keiyo

WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)

ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University

Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom

Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University

International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta

View attachment 1007791

Meanwile, Kenya is among the WORST police forces in Africa
 
1981 to 1984
He went Uru catholic seminary o level
1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary
1989 he joined UDSm where he studied Education
He joined Policeforce in the early ninetees
Siro ana degree ya sheria sio Education
 
Mkuu Hawa watanganyika wanaojifanya wakenya wajinga sana wao kila kitu cha Kenya wanasifia tu hata mambo ya kipuuzi kabisa. Yani Kenya pamoja na ugaidi wote huo ambao magaidi wanapanga for months na intelligence yao haina clue hata kidogo mtu Bado ana guts za kusifia task force yao. Huu ni uzwazwa wa kiwango cha juu

For some reason watanganyika wanaiona Kenya zaidi ya Ulaya kila Cha Kenya wanakisifia kweli kweli na kuona cha ajabu wakati Kenya bado ni a third world country yani nchi ya hovyo tu. On the contrary, wakenya hawajawahi na hawawezi kusifia chochote Cha TZ hata kiwe kizuri vp rejea Kenyan forum. Wakenya ni wakabila sana ila when it comes to mambo ya utaifa ni wamoja hawawezi iponda nchi yao kwa wengine.

Mfano halisi Kenyan airways ilipoanzisha NY route
Watz: Hongera sana Kenya mnajitambua
KQ: ikasitisha NY route baada ya kwenda mara moja tu
Watz: Hongera sana Kenya mnajitambua

Hapa unashindwa kuwaelewa hawa watanganyika wanaishadadia Kenya kwa lipi hasa
Wewe Sena ni seriousness gani ya Kenya unayoizungumzia kama rushwa, crime, police killings na slums vinazidi kushamiri kila siku?. Hivi lengo la elimu ni lipi kama sio kumsaidia binadamu aweze kutatua changamoto za maisha?.

Kikubwa kwa wakenya ni kutaka kujionyesha lakini hakuna positive yoyote inayoonekana, kwa mfano police ya Kenya ndiyo inayoongoza Africa kwa police brutality na rushwa, sasa hizo CV zinafaida gani?, Leo hii Kenya ukiachana na terrorism, ndiyo inayoshika nafasi za juu ktk crime rate Afrika.

By the way IGP Sirro ana Masters ya Sheria, lakini hilo sio muhimu, alipewa hiyo kazi baada ya kuthibitisha umahiri wake alipokua kamanda ya kanda maalumu, na wote tunaona jinsi jeshi la police linavyowajibika chini ya uongozi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu darasa la saba ni wakuu wa mikoa na mawaziri mradi awe mwanaccm

Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
 
NAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet

MARITAL STATUS: Married
AGE: 52

HOME DISTRICT: Keiyo

WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)

ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University

Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom

Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University

International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta

View attachment 1007791

So what?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
Kaka zangu watz nawahurumia Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Sena ni seriousness gani ya Kenya unayoizungumzia kama rushwa, crime, police killings na slums vinazidi kushamiri kila siku?. Hivi lengo la elimu ni lipi kama sio kumsaidia binadamu aweze kutatua changamoto za maisha?.

Kikubwa kwa wakenya ni kutaka kujionyesha lakini hakuna positive yoyote inayoonekana, kwa mfano police ya Kenya ndiyo inayoongoza Africa kwa police brutality na rushwa, sasa hizo CV zinafaida gani?, Leo hii Kenya ukiachana na terrorism, ndiyo inayoshika nafasi za juu ktk crime rate Afrika.

By the way IGP Sirro ana Masters ya Sheria, lakini hilo sio muhimu, alipewa hiyo kazi baada ya kuthibitisha umahiri wake alipokua kamanda ya kanda maalumu, na wote tunaona jinsi jeshi la police linavyowajibika chini ya uongozi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
plain stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
Acha ujinga wako, tofautisha kazi za professional na political, leta mfano wa nchi yoyote duniani ambapo uwakilishi wa wananchi unaotokana na kura hutegemea elimu ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
Cha ajabu hao wabunge wa darasa la saba ata 20 hawafiki!! inaeza ikawa ni sheria kwenye makaratasi ila jamii yenyewe ina sheria yake kichwani. Mtu wa darasa la saba ili akubalike na kupewa ubunge lazima awe amefanya makubwa ushahidi ni kwa hao wabunge wachache wa darasa la 7 waliopata ubunge. Ajabu ma profesa wakigombea ubunge mnawasema kwamba ni wachumia tumbo!! Mambo kama haya yananishawishi kuzuia democrasia inaweza ikawa ni jambo jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jihurumie wewe ambaye muda wowote wasomali wanakulipua kama si wewe familia yako.
Mind your own busworks
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, sasa Nyie mtalipuliwa mna maana ipi dunia hii kama si uchawai na kunywa supu ya albino? Hata makonda kasema juzi labda Ile siku mtaacha uganga na uchawi mtakua target.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom