sinide
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 459
- 486
Kwenu kuna nini wanachotafuta? Sio unaleta methali ambazo hujui maana yake.Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, sasa Nyie mtalipuliwa mna maana ipi dunia hii kama si uchawai na kunywa supu ya albino? Hata makonda kasema juzi labda Ile siku mtaacha uganga na uchawi mtakua target.
Sent using Jamii Forums mobile app
Then ni kwamba sisi jeshi letu imara sana tunaogopwa