Hemu kamsome Boinett in details halafu urudi. Kama Elimu sio inshu basi mkuu atuachie professors wafundishe vyuoni. Kuna sehemu hazitakiwi bra bra au siasa bali being professional
Sema kaifanyia nini Kenya, sisi mambo yetu ya ulinzi hayatangazwi, ukiambiwa CV ya Siro, utakaa chini
Mkuu kama ni mfatiliaji wa kinachoendelea kenya ni mikakati mingi sana Wana ipanga haswa iko based on Tehama na just incase kenya wakafanikiwa Kwa hayo wanayoyapanga Basi Later on Kenya itakuwa stable sana, Kumbuka tz ni vile hatuna Adui wa moja kwa moja ila usiniambie kwamba Jeshi letu la Polisi liko aware kiasi iko, Sio kwamba nalipuuza ila tu in real sense hawa jamaa wanapiga hatua
Wewe Sena ni seriousness gani ya Kenya unayoizungumzia kama rushwa, crime, police killings na slums vinazidi kushamiri kila siku?. Hivi lengo la elimu ni lipi kama sio kumsaidia binadamu aweze kutatua changamoto za maisha?.Kenya wako siriazi na mambo ya nchi yao. TZ kila kitu ni siasa. Hawawezi kufika popte kwa mikakati ya hovyo kiasi hicho. Watu wanaochagua watendaji kwa kuangalia sifa kuu kama ni mwnachama mtiifu?!
NAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet
MARITAL STATUS: Married
AGE: 52
HOME DISTRICT: Keiyo
WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)
ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University
Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom
Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University
International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta
View attachment 1007791
Siro ana degree ya sheria sio Education1981 to 1984
He went Uru catholic seminary o level
1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary
1989 he joined UDSm where he studied Education
He joined Policeforce in the early ninetees
HemuHemu kamsome Boinett in details halafu urudi. Kama Elimu sio inshu basi mkuu atuachie professors wafundishe vyuoni. Kuna sehemu hazitakiwi bra bra au siasa bali being professional
Wewe Sena ni seriousness gani ya Kenya unayoizungumzia kama rushwa, crime, police killings na slums vinazidi kushamiri kila siku?. Hivi lengo la elimu ni lipi kama sio kumsaidia binadamu aweze kutatua changamoto za maisha?.
Kikubwa kwa wakenya ni kutaka kujionyesha lakini hakuna positive yoyote inayoonekana, kwa mfano police ya Kenya ndiyo inayoongoza Africa kwa police brutality na rushwa, sasa hizo CV zinafaida gani?, Leo hii Kenya ukiachana na terrorism, ndiyo inayoshika nafasi za juu ktk crime rate Afrika.
By the way IGP Sirro ana Masters ya Sheria, lakini hilo sio muhimu, alipewa hiyo kazi baada ya kuthibitisha umahiri wake alipokua kamanda ya kanda maalumu, na wote tunaona jinsi jeshi la police linavyowajibika chini ya uongozi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu darasa la saba ni wakuu wa mikoa na mawaziri mradi awe mwanaccm
NAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet
MARITAL STATUS: Married
AGE: 52
HOME DISTRICT: Keiyo
WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)
ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University
Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom
Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University
International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta
View attachment 1007791
Kaka zangu watz nawahurumia Sana.Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
Jihurumie wewe ambaye muda wowote wasomali wanakulipua kama si wewe familia yako.
plain stupidWewe Sena ni seriousness gani ya Kenya unayoizungumzia kama rushwa, crime, police killings na slums vinazidi kushamiri kila siku?. Hivi lengo la elimu ni lipi kama sio kumsaidia binadamu aweze kutatua changamoto za maisha?.
Kikubwa kwa wakenya ni kutaka kujionyesha lakini hakuna positive yoyote inayoonekana, kwa mfano police ya Kenya ndiyo inayoongoza Africa kwa police brutality na rushwa, sasa hizo CV zinafaida gani?, Leo hii Kenya ukiachana na terrorism, ndiyo inayoshika nafasi za juu ktk crime rate Afrika.
By the way IGP Sirro ana Masters ya Sheria, lakini hilo sio muhimu, alipewa hiyo kazi baada ya kuthibitisha umahiri wake alipokua kamanda ya kanda maalumu, na wote tunaona jinsi jeshi la police linavyowajibika chini ya uongozi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wako, tofautisha kazi za professional na political, leta mfano wa nchi yoyote duniani ambapo uwakilishi wa wananchi unaotokana na kura hutegemea elimu ya mtu.Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
Hahahaha, imekugusa katika mfupa. Police ya Kenya is the most corrupt in Africa, it leads in police killings, and most trible and bogus in performance.
Cha ajabu hao wabunge wa darasa la saba ata 20 hawafiki!! inaeza ikawa ni sheria kwenye makaratasi ila jamii yenyewe ina sheria yake kichwani. Mtu wa darasa la saba ili akubalike na kupewa ubunge lazima awe amefanya makubwa ushahidi ni kwa hao wabunge wachache wa darasa la 7 waliopata ubunge. Ajabu ma profesa wakigombea ubunge mnawasema kwamba ni wachumia tumbo!! Mambo kama haya yananishawishi kuzuia democrasia inaweza ikawa ni jambo jema.Wanapotangaza kazi za udereva serikalinii ,pamoja na sifa nyingine lakini wanasisitiza minimum qualification ni elimu ya form IV. Kinachoshangaza ni pale minimum qualification ya kuwa Mbunge ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Ndio maana tuna Bunge dhaifu kwani tuna wabunge wa darasa la saba!!!
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, sasa Nyie mtalipuliwa mna maana ipi dunia hii kama si uchawai na kunywa supu ya albino? Hata makonda kasema juzi labda Ile siku mtaacha uganga na uchawi mtakua target.Jihurumie wewe ambaye muda wowote wasomali wanakulipua kama si wewe familia yako.
Mind your own busworks